Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Uhusiano Bora lazima uanzie kwa urafiki kati yenu,then mnafall in love na kuwa wapenzi,baada ya hapo mnashibana na kuwa Best Friends...Uhusiano usipopita hatua hizi mmechemka..Lovers must be best friends!
Kama uhusiano wako ni wa kikauzu zaidi ya dagaa utadhani wewe ni mwanafunzi kilaza na Boyfriend wako ni Mwalimu mkuu,hujui akikuita anakupa adhabu,au barua ya kumuita mzazi,au bakora,Ur not in Love...Mapenzi lazima yawe matamu, You can Smile,u can talk seriously,play like crazy kids,joke like bastards na bado mnapendana.
Kama uko kwenye uhusiano ambao Boyfriend kanuna muda wote kama Baunsa wa Maisha Club,My friend,Ur not in love uko Depo la Polisi,hama fasta kabla hujapata fangasi za moyo!