Youngest presidents in Africa (top 12)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)

FB_IMG_1613855117804.jpeg
 
Evidence show Young leaders appears to make more recklessness decisions than their older counterparts, vijana wengi tunajijua ni Good risk takers, unfortunately kwenye nafasi nyeti za uongozi you must ensure zero risks.
 
Hakuna zero risk in this world... kiongozi asiye chukua risk hatufai..

Take risk with care.
Evidence show Young leaders appears to make more recklessness decisions than their older counterparts, vijana wengi tunajijua ni Good risk takers, unfortunately kwenye nafasi nyeti za uongozi you must ensure zero risks.
 
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Umejumuisha hapo Nkurunzinza, meaning ni wale waliowahi kuwa ma rais wakiwa na umri mdogo, hata kama kwa sasa hawapo duniani..

Then, ongeza huyu:

✓ Julius K. Nyerere, Tz (39)

Born in 1922, he was just 39 when he assumed presidency in 1961 upon Tanganyika independence
 
Umejumuisha hapo Nkurunzinza, meaning ni wale waliowahi kuwa ma rais hata kama kwa sasa hawapo duniani..

Then, ongeza huyu:

13. Julius K. Nyerere, Tz (39)

Mkuu kwa Africa youngest kuliko wote ni VALENTINE STRASSER.
Huyu dogo alipindua selekali ya Sierra Leon mnamo tarehe 29 mwezi wa 4 mwaka 1992 akiwa na miaka 25 (25yrs)
Strasser alimuondoa madarakani Joseph Momoh nakutawara yeye mwenyewe kuanzia 1992 mpaka 1996 alipo pinduliwa na msaidizi wake Brg. General Julius Bio akishirikiana na Colonel Tom Nyuma na Capt. Komba Mondeh. Strasser alikimbilia gambia na baadae alipewa skolaship kwenda kusoma sheria huko uwingereza, hata hivyo wasierraleon waishio uwingereza walipaza sauti na kulalamika kuwa Strasser ni muuwaji na anatakiwa akamatwe. Skolarship ilifutwa na Strasser akarejea gambia, alikaa kwa muda na baadae alifukuzwa ikidaiwa anaplani za kupindua serekali ya gambia. Baadae alisamehewa na uongozi wa Sierra Leon na akarejea nyumbani na kuendelea kuishi na mama yake kijijini kwao. Kwasasa ni ombaomba mtaani
1613881035609.png

1613881106814.png
1613881154889.png

baada ya kutoka madarakani na kufulia
1613881664900.png

1613881253944.png
1613881304436.png
 
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776

heading yako ingesema walioko madarakani maana kuna waafrika wenye umri mdogo sana wamewahi kuongoza nchi zao. mfano ni Valentine Strasser
 
Hakuna zero risk in this world... kiongozi asiye chukua risk hatufai..

Take risk with care.
Ushasema risk with care.., ensure you minimize the risk to Zero, huwezi fanya maamuzi ya nchi unachukua risk deliberately, Ndio maana kwa mfano Miradi yote ya serikali tunakuwa na feasibility studies prior to commencement. Huwezi kubeti na nchi mzee.
 
Ila yale ya kifo cha ghafla cha nkurunzinza soon yanakuja kutokea udanganyikani
 
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776

Kwenye hii orodha mbona kuna hata waliotangulia mbele ya haki?
Angalia # 7.
 
Mkuu kwa Africa youngest kuliko wote ni VALENTINE STRASSER.
Huyu dogo alipindua selekali ya Sierra Leon mnamo tarehe 29 mwezi wa 4 mwaka 1992 akiwa na miaka 25 (25yrs)
Strasser alimuondoa madarakani Joseph Momoh nakutawara yeye mwenyewe kuanzia 1992 mpaka 1996 alipo pinduliwa na msaidizi wake Brg. General Julius Bio akishirikiana na Colonel Tom Nyuma na Capt. Komba Mondeh. Strasser alikimbilia gambia na baadae alipewa skolaship kwenda kusoma sheria huko uwingereza, hata hivyo wasierraleon waishio uwingereza walipaza sauti na kulalamika kuwa Strasser ni muuwaji na anatakiwa akamatwe. Skolarship ilifutwa na Strasser akarejea gambia, alikaa kwa muda na baadae alifukuzwa ikidaiwa anaplani za kupindua serekali ya gambia. Baadae alisamehewa na uongozi wa Sierra Leon na akarejea nyumbani na kuendelea kuishi na mama yake kijijini kwao. Kwasasa ni ombaomba mtaani
View attachment 1707846
View attachment 1707848View attachment 1707850

baada ya kutoka madarakani na kufulia
View attachment 1707861

View attachment 1707853View attachment 1707854
Safi. Alikuwa kamanda shupavu.
 
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Pierre Nkurunzinza?
 
What an interesting (and sad) story!
 
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Is abiy Ahmed a president of Ethiopia? What about Sahle-Work Zewde? You can't be serious.
 
huko tunakoenda hii List mtamuingiza JPM maana 2015 alikuwa na miaka 57
 
Mkuu kwa Africa youngest kuliko wote ni VALENTINE STRASSER.
Huyu dogo alipindua selekali ya Sierra Leon mnamo tarehe 29 mwezi wa 4 mwaka 1992 akiwa na miaka 25 (25yrs)
Strasser alimuondoa madarakani Joseph Momoh nakutawara yeye mwenyewe kuanzia 1992 mpaka 1996 alipo pinduliwa na msaidizi wake Brg. General Julius Bio akishirikiana na Colonel Tom Nyuma na Capt. Komba Mondeh. Strasser alikimbilia gambia na baadae alipewa skolaship kwenda kusoma sheria huko uwingereza, hata hivyo wasierraleon waishio uwingereza walipaza sauti na kulalamika kuwa Strasser ni muuwaji na anatakiwa akamatwe. Skolarship ilifutwa na Strasser akarejea gambia, alikaa kwa muda na baadae alifukuzwa ikidaiwa anaplani za kupindua serekali ya gambia. Baadae alisamehewa na uongozi wa Sierra Leon na akarejea nyumbani na kuendelea kuishi na mama yake kijijini kwao. Kwasasa ni ombaomba mtaani
View attachment 1707846
View attachment 1707848View attachment 1707850

baada ya kutoka madarakani na kufulia
View attachment 1707861

View attachment 1707853View attachment 1707854
Aisee! Atakuwa alikuwa amejisahau sana!

Ukipindua selikali muda utakao kaa madarakani hata kama utakaa kwa wiki inatakiwa unachota bilioni kadhaa unazitupia nje huko, ili kikinuka unakimbia na pa kuanzia unakuwa napo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom