Young Killer Vs Young D nani mkali ?

Young Killer Vs Young D nani mkali ?

Akili yako short chassis, unadhani watu woote wanaishi Tanzania ka wewe? Who knows young killer at international arena?

Ona Jinsi Ulivyo N____ro , Kumbe Young D Unamjua Ila Young Killer Umjui, Sasa Mbona Uliuliza Vile Ulivyo Uliza, Alafu Unataka Kunitambia Eti Unaishi Nje, A a a a a a Nakupa Dole Gumba Alafu Naondoka Zangu,.
 
Young killer mkali..young D akarap kwenye crack house
 
Style anayotumia Young D inamfanya awe juu ya Killer...ingawa wote nawakubali
 
Stayle ya Young Killer ni kama ya rappers wengine tu isipokuwa ana kasauti fulani ka-kitoto kanakoongeza fleva, katapotea akiwa mkubwa, ila yuko poa sababu ana vimashairi fulani hivi vya Stamina!! Wakati Young D, style yake ni yake, hamna rapper wa bongo anarap ka yeye. Pia ana mashairi, hivyo kwa mimi, Kajunjumele wa soko matola nampa A+, wakati msodoki wa mwanza nampa B+
 
Sijui sana mziki.....navutiwa sana na mashairi fikirishi ya young killer......ni aina ya fanani waliopotea kwenye tasnia vutishi ya mziki inayosikilizwa na hadhira pana
 
Fundi wa magari? Ebu fafanua

Nimekuelewa kuwa sio kila mtu yuko Tanzania na angeweza kujua ni kina nani hawa. Nimekuelwa sababu wewe ndo umekuwa wa kwanza kucomment. Hawa ni wasanii wa Hip Hop ya Tz. Vijana wadogo sana, nafikiri bado wako kwenye teens ila wanafanya vizuri sana kwenye fani hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom