kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,321
Jamaa namkubali sana huyu anaijua sana kazi yake!
Jamaa namkubali sana huyu anaijua sana kazi yake!
Kweli kabisa.Jamaa namkubali sana huyu anaijua sana kazi yake!
Ni kweli ndugu yangu jana walitunyima nafasi ya wazi kabisa hilo halipingiki, ila bana na sisi inatupasa tutengeneze nafasi nyingi zaidi na zaidi ili hata kama imetokea tumeminywa sehemu basi zile nyingine zikave ili tupate matokeo.Wana Yanga wenzangu tuwe positive na timu yetu ktk mechi ya Jana Mana kila mmoja naamini aliona kiwango kikubwa kilichoonyeshwa na wachezaji wetu + waamuzi kumnyima Mayele nafasi ya kufunga goli halali kabisa. Ila kiukweli huwa naumia sana kuona tunanyimwa nafasi ya vile halafu Simba wanapewa nafasi zisizo halali yao kama penati ya juzi
Yakitokea hayo hawasemi GSM. Ila ngoja Yanga ishinde au wapigweWana Yanga wenzangu tuwe positive na timu yetu ktk mechi ya Jana Mana kila mmoja naamini aliona kiwango kikubwa kilichoonyeshwa na wachezaji wetu + waamuzi kumnyima Mayele nafasi ya kufunga goli halali kabisa. Ila kiukweli huwa naumia sana kuona tunanyimwa nafasi ya vile halafu Simba wanapewa nafasi zisizo halali yao kama penati ya juzi
Kuna matukio kadhaa ambayo marefarii wameshindwa kuyatafsiri. Offside mbili za uongo, faulo mbili za wazi ndani ya 18 kapeta. Kuna mpira Mayele alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanya maamuzi lakini baada ya kuacha advantage kwa yanga anapuliza filimbi faulo, mchezaji wa Yanga kachezewa.Wana Yanga wenzangu tuwe positive na timu yetu ktk mechi ya Jana Mana kila mmoja naamini aliona kiwango kikubwa kilichoonyeshwa na wachezaji wetu + waamuzi kumnyima Mayele nafasi ya kufunga goli halali kabisa. Ila kiukweli huwa naumia sana kuona tunanyimwa nafasi ya vile halafu Simba wanapewa nafasi zisizo halali yao kama penati ya juzi
Gsm matapeli
KumbeGsm matapeli
Cha ajabu yule MOooo hammuogopi. 😀Ogopa Matapeli
Mwekezaji halisi huyoCha ajabu yule MOooo hammuogopi.
Mmetoka suluhu na Mbeya City mnaanza kususaCha ajabu yule MOooo hammuogopi.
Nani kasusa?Mmetoka suluhu na Mbeya City mnaanza kususa
Mmh.Mwekezaji halisi huyo
Naona press zinaanza kuzaa matunda sasa.
Mkutano wa mabinti wa Yanga na waandishi wa habari nasikia utakuwa kesho.Tumeamua ni mwendo wa Press tu.