Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Endelee kujipa moyo kama kwa chamaKiungo wa Yanga Khalid Aucho amesema hana tatizo na Yanga na pia anafurahia
"Sina tatizo na klabu ya Yanga, Siendi popote kwa sasa sababu nina mkataba na Yanga SC Pia nina furaha ndani ya Yanga na ninaipenda Yanga" Khalid Aucho