Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

KAULI YA SIMON PATRICK NAIBU KATIBU MKUU WA YANGA HIYO. 👇 BAADA YA YALIYOTOKEA.

Wananchi Msikubali kuyumbishwa, Hili sakata ndio litakaloleta mageuzi ya mpira Tanzania, kuanzia kwenye mifumo ya haki mpaka kwenye taasisi za mipira.

Serikali ya JPM husimama upande wa wenye haki. CAS pia husimama upande wa wenye haki.

Nawaomba wanayanga msiwe na wasi wasi wa aina yoyote zama za ujanja ujanja zimeshaisha.

The Series is on, vaa miwani ya 3D, agizia kahawa, weka bundle.

Nawatakia mapumziko mema ya sikukuu ya nane nane.

#daimambelenyumamwiko
Mtanii huyu hana nidhamu

Tuachieni tu.

Hapa ndo janja Janja ya GSM mtailewa.
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Attachments

  • 2480291_IMG-20200808-WA0026.jpg
    2480291_IMG-20200808-WA0026.jpg
    63.4 KB · Views: 1
Aaah!! Nina hakika tunakoelekea tutawaelewa vizuri kilichowaleta Yanga kama ni kheri ama la.
Mtani Mimi naamini Simba pale tunawatu makini sana kama kina senzo, magoli nk.

Ni ngumu sana kukurupuka kwenye hili, ukiona hivo jua wamejiridhisha vya kutosha.

Uongozi wa yanga nahisi uliingizwa chaka na GSM
 
Mtani Mimi naamini Simba pale tunawatu makini sana kama kina senzo, magoli nk.

Ni ngumu sana kukurupuka kwenye hili, ukiona hivo jua wamejiridhisha vya kutosha.

Uongozi wa yanga nahisi uliingizwa chaka na GSM
Na mimi hilo linanifanya nibakiwe na asilimia chache sana za kuamini kwamba ana mkataba kwetu.

Ila muda utaongea japo Uongozi wa Yanga wametoa ile barua wakijua dhahiri tumeshitushwa na hizi habari.
 
Back
Top Bottom