Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Walete hao Mkunungu fc
 
Attachments

  • 84332157_1252900018240634_1320235649294401536_n.jpg
    84332157_1252900018240634_1320235649294401536_n.jpg
    7 KB · Views: 1
BREAKING NEWS:

Mkunungu de Utopolo yatangaza rasmi kuja na marefa wao mashuhuri Shomary Lawi na Elly Sassii pamoja na wachawi wao kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Mabingwa wa nchi Simba sc.
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufanya hivi ni kutokana na hofu kubwa waliyonayo baada ya kuona Mpira mkubwa wa kutisha kutoka kwa Mnyama mkali Simba sc.
 
Picha la kutisha
Screenshot_20200702-205803.jpg
Screenshot_20200702-205725.jpg
 
5imba koko mkia fc ongeeni kujitapa tu ila msije na matokeo yenu mfukoni, maana mnaongea kama vyerehani.. Wekeni akiba ya maneno, spirit fight ya team ya azam na yanga ni tofauti sana so msitegemee mechi itakua rahisi kama kumpiga search kipofu lazima machozi, jasho na damu vitoke.
Kimchezo naipa hi game 50/50 anything can happen hasa hizi mechi za mtoano na derby hazinaga nani ni underdog
 
Back
Top Bottom