Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,138
- 16,203
Kuna mpira umepotelea angani wanasubiri urudi wapige penalt ya mwishoMatokeo ya yanga vipi mkuu?
Kuna mpira umepotelea angani wanasubiri urudi wapige penalt ya mwishoMatokeo ya yanga vipi mkuu?
Ah wapiYanga piga hao Wahabeshi mechi ya marudiano tucheze kwenye Makundi
Ah wapi
Jamaa wanaweza kuongeza jingine 2nd half wakaenda PenaltyDaah Yanga wanabutuabutua tu leo na wakati hawana uwezo wa kupiga penati.Lakini watasonga mbele kwa matokeo yoyote yale.Sioni 3-0!
Yaani kutoka wagawaji wazuri wa kipigo cha 4g mpaka kibao kimegeuka kwetu. Hatari sana.Tumepigwa 4g hatari sana mazee