Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu ni mkweli kabisa na ni mpenzi wa Mungu, kwani uwezo wa timu anaujua na usishangae kukiri kwake kwamba Majaliwa (Namungo) na mzee Bakhresa(Azam) hawawezi kuwabania na Ana uhakika na hizo point. Wala hiyo sisi haitusumbui kichwa, tutapambana uwanjani kuhakikisha jambo letu la msimi huu linatimia. Nyie endeleeni kutembelea mbeleko ya Majaliwa, Bakhresa, waamuzi na tfu tfu.
Na ziliachwa makusudi kuja kutoa mbeleko.
 
nlikuwa busy leo nkaona nipitie tetesi za usajili bongo nkaona jina la Mbombo kwenye gazeti la mwananchi, kama kweli ameridhia kuja Yanga lile ndiyo bull striker la ukweli sasa!
Ni mchezaji ambaye hata kama anataka $15,000 kama ipo apewe, yule ni asset, ni kati ya wachezaji talented sana Zambia, na scouts wanawatupia macho, ni kama yule Dube wa Azam.
Huyo jamaa anatajwa sana ila sina imani kama tunaweza kumpata kwanza gharama tu ya kimnunua lazima iwe balaa, badosalary
 
Tunaelekea Mapinduzi Cup huko nako Timu ya Wananchi tuna jambo letu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
20210104_172205.jpg
 
Na iko ndo kiliwasaidia pia waishukuru Mvua mana nayo ilijua kuutotesha uwanja kwani pasi zetu nyingi hazikuwa zinafika kama tulivyotarajia.
Mtaishia ku sema tuu. Last season had first round inaisha Yanga haijafungwa DADADEK nini kilitokea. Mabigwa ni wale wale. Simba. Nyie yenu maneno na vjora na madela

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom