Young African Leadership initiative

Young African Leadership initiative

zimbo

New Member
Joined
Jul 1, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Salamu wana jamii forum wenzangu,mimi ni kijana wa miaka 33, ni mjasiliamali mdogo mdogo, juzi nimesikia kuwa Rais Obama kuna program ameanzisha kusaidia vijana 500 kila akutoka barani Africa(YALI),kwa bahati mbaya nimepata habari hizo late, I mean muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi ushafika, lakini nilitaka kujua tu ni vijana wangapi kutoka Tanzania waliochangamkia fursa hii
 
Back
Top Bottom