You think you know English better?

You think you know English better?

Hapo sasa

Hii ingeenda kule jokes!

You are SleepY

Ha ha ha! Ina maana teacher English not reachable well.
Mwalimu hapana chezeya JF weye

Teh! teh! teh! ... Jamaa mleta hoja Revocatus Kashaga kaikimbia thread yake na kuingia mitini baada ya kuona swali alilouliza la kitoto!

Inaonekana hajaisoma JF vizuri - eti anasema "hakuna ku-cheat wala Dictionary" - hajui kuna watu wanaandika hiyo Dictionary ambayo yeye ndio anaitumia!

Siku nyingine ajipange vizuri kwanza ... kuna wajuzi huku!
 
Itakuwa home work ya mtoto,
umepigaje bao aisee!,
mtoto anajua baba si ndo huyu amejaa kidhungu kumbe JF, weweeeeeeeee!!
 
sorry........

Preta;
Avatar yako inanikumbusha Preta & Apollo & Phillipe& Brian & Octavia & Alphonso & Paco & Germana & Barbra &.....
Wanairudia Capital TV tena siku hizi nimeona
 
You think you know English better?
Well, here's a test for you..


Apart from 'SALARY' write any other ENGLISH word
that starts with 'S' and ends with 'Y'...
Your time starts Now...
DON'T CHEAT - NO DICTIONARY
Sorcery
 
sky stealthily sunny subway shinny
 
sexy

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
salary

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Back
Top Bottom