You think fat is ugly???

Fat is not ugly...but i think protein is ugly!..hahaa
 
Ugonjawaaaaaa!sio normal hii....ROFL. <br />
<br />
 
I think they are victims of eating disorder 'Anorexia nervosa' some kind of a psychological problem, na hapo wao wanajiona bado MABONGE
 
Mzee wa chabo?
kama wale jamaa wa Mombasa..? tete te eh
 
Bila shaka huu ni ugonjwa! Haina hata haja ya kuvaa bra wala pants! Lol
 
Photoshop hizo nyie! Huyo model aliyekaa beach namjua hayuko hivyo, ka vipi ka google anaitwa Gisele Bundchen.
 
uwiiii....hivi ni urembo au?swalii la kizushi ivi lazima modal awee mwembambaaaa?
 
inatia kichefuchefu lkini ahsante kwa kuonyesha upendo wa kweli kwa mpendwa wako... nahisi ilikuwa model show ya wahusika wenyewe. hii kali sijawai ona....!

Yani kama avatar yako kabisa hakuna tofauti mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…