Mh! Huyu mpaka anatia kinyaa. Huwa napenda videmu mchongoma vyenye "AC" huyu amezidisha mno. unaweza kutoka baada ya mchezo na mawazo yakaanza hapo hapo mpaka unakufa. Mgonjwa huyo si bure!
Huo ni uchokozi vivi,U dont know unaweza muumiza mtu kiasi gani kwa utani bila wewe kujua.Mwenzio anatafuta jawabu,na ukifanya utani unamuongezea guilty.
inatia kichefuchefu lkini ahsante kwa kuonyesha upendo wa kweli kwa mpendwa wako... nahisi ilikuwa model show ya wahusika wenyewe. hii kali sijawai ona....!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.