You should never ever give up! Habari ndio hiyo.

You should never ever give up! Habari ndio hiyo.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,764
Reaction score
9,680
Huu ndio ujumbe wa Diana NYad mwenye umri wa miaka 64 baada ya kuogelea kilomita 177 Cuba hadi Florida marekani kwa masaa 53. Hongera Bi Diana.
 
Amefanikiwa???!!
Kweli; never ever give up..
 
Back
Top Bottom