Lasway.Jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 230
- 402
You must be in the mind of your children in order to be successful" I stand to be corrected for this
Kwa nini unafikiri baba/mama kuna mahali walikosea? , kwa nn ukipigiwa story na kuambiwa kuwa mnakoishi sasa palikuwa porini miaka 15 iliyopita unajiuliza kwa nn baba asingenunua hata hekari kumi kipindi hicho? , kwann unaambiwa huyu jamaa alianza kama utani tunamwona na leo ni tajiri? ofcoz hyo ndio akili ya vijana tulio wengi, laiti wazazi wetu wangekuwa kwenye akili zetu(kabla hatujazaliwa) , so ili sisi tufanikiwe lazima tuweze kuwaza ni maswali gani watoto wetu watakuwa wanawaza ili tuyafanyie kazi iliwao waje kuwaza mawazo ya wajukuu zetu .....again and again hapo ndipo tutaweza kujenga kizazi chenye utajiri wa mawazo/fikra pamoja na mali [HASHTAG]#kamahupendipesawewesiorafikwangu[/HASHTAG]
hii kitu nimejifunza kwa wahindi na waarabu ambao nimefanikiwa kufanya nao kazi hapa tanzania hasa hizi family based company
naomba wana jamvi mchangie hapa je? ni wangapi wanawaza/wanakuwa kwenye akili za watoto wao?