You left me but remember

Time is the best healer when it comes to broken hearts.
Give yourself sometime and dont rush into any cryz relationship or lager to forget.
 
Mkuu je ni kweli umeiba hii kitu sio original work of yours? Ebu fafanua maana plagiarism ni wizi

Zamani kabla ya ukoloni nadhani watu walikuwa wanatumia mikono kula (kwa maana hapakuwepo vijiko)
Usafiri ulikuwa wa miguu na ama kutumia wanyama kama punda na ngamia... Wazungu pamoja na mambo mengine wametuletea vijiko,tukaiga toka kwao sanaa ya kula kwa kutumia kijiko, na tukaenda mbali zaidi kwa kuacha kupenda farasi na kuanza kutumia magari na leo tunatofautiana na hawa mabwana kwa ngozi tu kwa maana hata style ya kupinda midomo wakati wa kuongea naona vijana wamechukua kwa kina Eminem... Kwa muktadha huu wapandishwe kizimbani wote waliotangulia kufanya mambo kwa mtazamo wa umagharibi kisha uje kwa wenye controversial optimism...
 
relationships are like glasses its better 2 leave them broken than hurting urself putting it back together! move on n one day u will say she wasn't the one!!
 
Mkuu je ni kweli umeiba hii kitu sio original work of yours? Ebu fafanua maana plagiarism ni wizi

Ni kweli kaitoa sehemu na hakusema alipoitoa hivyo kutoa taswira kwamba kaiandika yeye kumbe wapi, si yeye.
 
relationships are like glasses its better 2 leave them broken than hurting urself putting it back together! move on n one day u will say she wasn't the one!!

Babu aliwahi kuniambia kuwa Mwanamke hana dini wala kabila (dont quote me wrong) kwa muktadha huu ukisema nitakuja kurealize kwamba hakuwa wangu it means kuna aliye mahususi kwa ajili yangu dhana nayiipinga though sibadilishi dhana hiyo iwatoke wanaoamini kama wewe!
 
Wanadamu kwa wivu bwana...ndiyo maana tukifa tunasahau hata kufunga macho!

Wivu wa nini wakati maandiko yenyewe ya kuiba?

Kuwa mkweli, sema ulipoyatoa. Kuyaweka na kuyawasilisha hapa kama vile ni yako wakati unajua fika si yako si vizuri na si uungwana huo.
 
Ni kweli kaitoa sehemu na hakusema alipoitoa hivyo kutoa taswira kwamba kaiandika yeye kumbe wapi, si yeye.

yes amekopi but it match wit some events in his real life situation hvo akaona nivema atumie hayo maneno kufikisha ujumbe!! mbona madem zenu wakija geto mwanzomwisho mnawawekea nyimbo waloimba wenzenu?? mngekua mnawapa freestyle zenu basi kama isngekua comedy!! nyooooooo
 
Kukopi maandiko ya wengine hakukatazwi. Lakini, ili kutowahadaa wengine kudhani kwamba umeandika wewe, kutoa angalizo kwamba wewe siye mwandishi ni uungwana.

Ni kiasi cha kusema tu 'nimeitoa kwa fulani/ sehemu fulani' au 'kwa hisani ya fulani na fulani'. Hakuna ugumu wowote katika kufanya hivyo.
 
Wanadamu kwa wivu bwana...ndiyo maana tukifa tunasahau hata kufunga macho!

Mkuu hakuna mtu ana wivu, kwani wivu wa nini? Ila wizi wa kazi za watu ndio unapigwa marufuku, iwe umekopi neno kwa neno ama umeingiza maneno yako(to make it tasty -paraphrasing) bado ni wizi.

Otherwise admit kuwa ni kazi yako tu, plagiarism is a criminal offence, sio wivu
 
How sweet
 
Mkuu uko sawa kbs, acknowledgement ni muhimu sana ndio mana kuna app inaitwa plagiarism checker kuwakamata watu sampo hii
 
Hakuna sehemu yoyote nimemwandaa mtu kuamimini, sio lazima kuamini...Rose mwenyewe alipatikana kutokana na hisani ya wazazi wake but who cares kwamba sijaonesha hisani hiyo! kuzidishiana tu stress huko!
 
Siyo lazima kuamini nini? Wewe hayo maandiko umeyatoa kwingine bila kutaja. Siyo ya kwako. Umeyakopi. Umeyakopi bila kutambulisha ulikoyatoa. Huo ni wizi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…