Huko ndo kuisoma namba kwenyewe... Sasa mnataka tuwape mikopo halafu wasanii kwenye kampeni tungewalipa nini?.. Mtanyooka tu, acha waisome namba eeh, sie mbele kwa mbele leo tunaapisha
Kijana kuomba tena mkopo chuoni kapata so kaz ndogo nakumbuka nikiwa nasoma tulikua watu 2000 tuliomba chuoni walio pata walikua 3
so jins ya kufanya iliupate mkopo hakikisha unakua name cheki ya kifo cha wazazi ' barua ya kuachishwa Kaz ya mzazi' chet cha ulemavu'barua ya wadhamn waliokua wanakusomesha huko nyuma yani wafadhi taasisi ilyokua inakusomesha huko nyuma vingnevyo utapoteza buku yano yako bureeeeee #HaPA kAz TUu#
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.