Kama una kiasi cha kuanzia unaweza kuendelea huku ukiwa ume appeal.Applied geology huwa ina priority mbona
Nashindwa kuelewa kwa nini wamefanya hivyo istoshe shule zote nlosoma ni za government af course ina priority

Dah, hofu yangu kubwa imekuwa confirmed. Nilifanikiwa kuingia kwenye profile yangu ya HESLB, Nikakuta maneno "You have not secured a loan" yapo pale. Ile kurasa ilikua na sehemu ambazo hazina info yeyote mfano, "Reason", "Institute", "Full name". Sasa sijui hili ni tatizo na mtandao wao? kama si tatizo, na ikawa kuwa ni kweli nimekosa mkopo, kuna uwezekano wa kuappeal nikapata walau 0%?
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
NOTE: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "Non Priority".
Shida tupu yani.:spy:

we boya nini, mimi mwenyewe ni mwana mabadiliko... 😛oa
Mbona mnakuwa washamba ivo,ata nchi hajakabidhiwa mshaanza kelele.
Dah, hofu yangu kubwa imekuwa confirmed. Nilifanikiwa kuingia kwenye profile yangu ya HESLB, Nikakuta maneno "You have not secured a loan" yapo pale. Ile kurasa ilikua na sehemu ambazo hazina info yeyote mfano, "Reason", "Institute", "Full name". Sasa sijui hili ni tatizo na mtandao wao? kama si tatizo, na ikawa kuwa ni kweli nimekosa mkopo, kuna uwezekano wa kuappeal nikapata walau 0%?
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
NOTE: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "Non Priority".
Ushauri wangu kama una ada ya kuanzia nenda kaanze tuu....mkopo unaweza ukatoka but sio leo wala kesho...bado nchi haijatulia hii kiutendaji
Kalaghabaoooo.. ndobasi tenaa, non priority!!!Dah, hofu yangu kubwa imekuwa confirmed. Nilifanikiwa kuingia kwenye profile yangu ya HESLB, Nikakuta maneno "You have not secured a loan" yapo pale. Ile kurasa ilikua na sehemu ambazo hazina info yeyote mfano, "Reason", "Institute", "Full name". Sasa sijui hili ni tatizo na mtandao wao? kama si tatizo, na ikawa kuwa ni kweli nimekosa mkopo, kuna uwezekano wa kuappeal nikapata walau 0%?
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
NOTE: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "Non Priority".
Hiki kilio cha wengi,tumekata tamaa, mid ?imepata BSc in biology lakini mkopo no,ndoto zimekufa