Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,570
- 15,327
Money money money ilinifanya nikutorokeeeee.
Wewe sasa umeelewa mada vizuriSijapenda mimi kuitaja Morogoro aiseee. In other side
Kazi huwa zinatutenganisha basi ss tufanyeje?
Siinjoy kuwa huku yy awe kuleeeeee.
Money money money ilinifanya nikutorokeeeee.
Leo mwisho hapa hapa sitaki maelezo zaidi mimi. Umegusa jipuWewe sasa umeelewa mada vizuri
Pole endelea kuzisaka pesa ila mala moja moja mnaonana
Nimegusa jipu gani tena?Leo mwisho hapa hapa sitaki maelezo zaidi mimi. Umegusa jipu
😷Nimegusa jipu gani tena?
Haya👍
Pole aisee 😢I'm not enjoying anything
To I get meghan markle back
tuna kikao chetuMapema sana
Wenzetu wamestaarabika sana.Mpira ulaya ni burudani sio uhasimu. 😊
Carvajal, Alaba, Valvede ni mechi zao za mwisho wakiwa na Los Blancos. Ni hisia kubwa kuaga dimba la RM.
We umezidi..😜Kwani nazungumzia kila siku jamani uonevu huu😭
We hujioni?We umezidi..😜
Aiseee noma pole😢Mie namis kulala nyuma ya matako 🍑
NiacheWe hujioni?
Au ndio nyani🤣🤣
Aah!! sijapoa, ila ahsante.Aiseee noma pole😢
SikuachiNiache
Utapoa tu tuliaAah!! sijapoa, ila ahsante.