Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,972
- 25,777
Usiku huu unapata wapi?Achikilimuuu babu
Subiri kukikuchwa asubuhi.
Usiku huu unapata wapi?Achikilimuuu babu
UlongooWajukuu
Sawa babu mdogoUsiku huu unapata wapi?
Subiri kukikuchwa asubuhi.
Ndioooo!Ni mpare huyu?
Siharibu, mimi nimetoa uzoefu wangu kule! 😊Sasa kule una haribu 🤣
Kumbee basi ndio maana tunaelewana babu yangu😅Ndioooo!
Aaaah! Kumbe waarabu wa pemba nyie!Kumbee basi ndio maana tunaelewana babu yangu😅
Ona unaanza kujizima data 😅 haya sawaSiharibu, mimi nimetoa uzoefu wangu kule! 😊
🔥🔥 ila sijawahi kukaa sana hukoAaaah! Kumbe waarabu wa pemba nyie!
Kivipi sasa?Ona unaanza kujizima data 😅 haya sawa
Niambie kwanza dawa ya jino 🥹Kivipi sasa?
Nipo nacheki game hapa Real Madrid inawaaga baadhi ya wachezaji wake nimeshangaaa hadi timu pinzani zimewaaga kwa heshima ndo naona kwa mara ya kwanzaUmeona nini leo mkuu?
Niambie kwanza dawa ya jino 🥹
Bado utashangaa sana dunia ina mamboNipo nacheki game hapa Real Madrid inawaaga baadhi ya wachezaji wake nimeshangaaa hadi timu pinzani zimewaaga kwa heshima ndo naona kwa mara ya kwanza
Liling'olewa likabaki kipisi alooo 😭Limeathirika vipi? Linakuumaje?
Mpira ulaya ni burudani sio uhasimu. 😊Nipo nacheki game hapa Real Madrid inawaaga baadhi ya wachezaji wake nimeshangaaa hadi timu pinzani zimewaaga kwa heshima ndo naona kwa mara ya kwanza
Rudi tena hospitali wakakitoe. Hapo wanakupa mateso ya bure, jino halipo.Liling'olewa likabaki kipisi alooo 😭
Naogopa hiyo siku na ng'olewa niliona kaburi liveRudi tena hospitali wakakitoe. Hapo wanakupa mateso ya bure, jino halipo.
Hamu zote zinakata , mwezi mpaka mwaka una isha bila ku duuUkiwa na familia inakuaje.
Pole kwa msamiati wa makebo🥹
Siamini 🤔Hamu zote zinakata , mwezi mpaka mwaka una isha bila ku duu