ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,358
- 41,150
- Thread starter
- #41
SafiiSawa. 😊
SafiiSawa. 😊
Hem' lala unigeuzie makebo 😅😅😅😅Mjukuu acha ujinga.
Babuu bibi ananifokea 😭Hem' lala unigeuzie makebo 😅😅😅😅
Asikufokee, anigeuzie makebo asikilizie kitu cha moto kigumu kikigusagusa😅Babuu bibi ananifokea 😭
Fire 🔥 🔥🔥🔥Asikufokee, anigeuzie makebo asikilizie kitu cha moto kigumu kikigusagusa😅
Tuna mda kidogo, ndio maana unaona bibi yako ana hasira sana, ngoja nimtulize!!Fire 🔥 🔥🔥🔥
Ukiacwa mie simo maana bibi leo kawa mbogo
Kumbe mna mda hamjapeanaTuna mda kidogo, ndio maana unaona bibi yako ana hasira sana, ngoja nimtulize!!
Changu hakichachi, akininyima sikai kizembe!Kumbe mna mda hamjapeana
Vitu vyenyewe mpka vimechacha 🙃
Kumbe wewe hauchekeshi aloooChangu hakichachi, akininyima sikai kizembe!
Sichekeshi hata kidogo mjukuu, niko balehe ya pili, I no play with nobody 😅😅Kumbe wewe hauchekeshi alooo
Ujue nakuheshimu sana babu
Kumbe uvumilivu zero
Wananiharibia huyu mzee walah🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hem' lala unigeuzie makebo 😅😅😅😅
Kina nani wana mharibu huyu mhenga 🤔Wananiharibia huyu mzee walah🙆♂️🙆♂️🙆♂️
WajukuuKina nani wana mharibu huyu mhenga 🤔
Achikilimuuu babuSi tumeshaagana huku?
Sema sasa unatakaje? 😊
Sasa kule una haribu 🤣Si tumeshaagana huku?
Sema sasa unatakaje? 😊
Ni mpare huyu?🤣🤣🤣🤣
Si nilikuambia. Epuka wapare.