Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,503
Oya ShesRise_1 tukutane kesho, niache kwanza nishereheke ubingwa.[emoji23][emoji23]
Woyooooooooo
Hahaaa!
Woyooooooooo
Hahaaa!
Sizitaki mbichi hiziHahaaa
Gorikipa wangu katoa pelnati.
Kuna watu wanapata raha wakilala nyuma ya makebo. Sasa me sina mpenzi, mchumba wala mke.
Leo ntalala kwa raha sana mamelod akichukua kombe.
Enjoy dogo 🔥Oya ShesRise_1 tukutane kesho, niache kwanza nishereheke ubingwa.[emoji23][emoji23]
Woyooooooooo
Hahaaa!
Hapana, tofauti mnoooNa wewe upo kama huyo
SafiiiHapana, tofauti mnooo