Yamepooza sioMapenzi ya mbal haina ladha
Wasalimie
Hilo Usijali.Wasalimie
Na hapa umepita kwenye uzi kwa hiari yako baadae utaenda kujilalamisha kua watu wanaongelea mapenzi tu hakuna kingine😅Hilo Usijali.
Kwanini kijana mdogo 😢😅Duh kumbe mm bado sana khs mapenzi 😭
Nikisomaga mada za watu khs mapenzi Ndo najua kumbe mm sijawah kufaidi au siyajui Kabisa Hayo mapenzi 😭Kwanini jina mdogo 😢😅
Dah unavyoongea kwa hisia sasa 🤣Nikisomaga mada za watu khs mapenzi Ndo najua kumbe mm sijawah kufaidi au siyajui Kabisa Hayo mapenzi 😭
Itabidi nikutafute 😎Dah unavyoongea kwa hisia sasa 🤣
Sa itakuje kipenzi😎
😅😅😅Itabidi nikutafute 😎
Au wasemaje? Au utanibania kunifundisha? 😎
Mimi sio mwalimu kijana sijui nikusaidiejeAu wasemaje? Au utanibania kunifundisha? 😎
Kinoma.mm napenda demu ambaye yupo karibu na mazingira nkipanga kumzagamua namkuta yupo moto sio baridiYamepooza sio
Tatizo hilo 🙆Mimi sio mwalimu kijana sijui nikusaidieje
🔥🔥🔥Kinoma.mm napenda demu ambaye yupo karibu na mazingira nkipanga kumzagamua namkuta yupo moto sio baridi
PoleTatizo hilo 🙆
Tunaangalia tu! 😎.
Ushawahi kuona mgonjwa akapoa bika dawa, huko kuna kuwa sio kupoa ni kuzoea maumivuUtapoa tu tulia