You can't fight for this love!!!?

Asante cariha

Mbona nimeshika adabu yangu! Siezi fanya kosa kama lile tena
Ndo utulie umwombe Mungu akupatie sahihi atakayekupenda na kukuvumilia, ukimpenda MTU kiukweli hutamuumiza, you won't cheat, maumivu utamhurumia ila wengi hatujaligi hisia za wengine. Ila Mungu aliamua kukufundisha na wewe
 
Tena Mungu Alinifundisha kwa fimbo hasaa maana si kwa maumivu yale aiseeπŸ™πŸ˜•
 
Wee mapenzi kitu kingine bora physical pain kuliko maumivu ya moyo na hisia waweza kufa yani, Mungu aliumbaga vtu vya ajabu kweli, hata uwe jemedari vipi ikifika kwa mapenzi mdogo ka piritoni
Katika mapenzi kuna siri kubwa sana ya uumbaji na nimeshuhudia, sikubaliani na wanojitoa roho kwa mapenzi ila sasa NAWAELEWA wanayopitiaga
 
Katika mapenzi kuna siri kubwa sana ya uumbaji na nimeshuhudia, sikubaliani na wanojitoa roho kwa mapenzi ila sasa NAWAELEWA wanayopitiaga
Ni kweli mkianza tu kukutana kimwili kuna spiritual connection flani hivi mnajenga na bond, hafu hata ikiwa na wengine kuna yule mmoja hugusa sana roho yako nakukuingia zaidi, usipokuwa makini eeeh waweza jiua walah, ila kikubwa ni kugugumia maumivu ili yaishe, time heals everything, na kitu kikiondoka ndo waona umuhimu wake na wale uliokuwa nao ka vidumu wote waakutoka kabisa
 
Ndio inavyokua wale ambao ulikua una fool nao around watakutoka nao au utagundua kuwa walikua no match kwa yule uliyempoteza
 
Kweli ukichangia mahusiano mengi sikuhizi sio real, watu wanapenda na kwa masilahi flani flani, kumpata mwenye true love ni ngumu only few
Ni very very rare kumpata mwenye true and genuine love siku hizi, halafu mtu unaacha wa hivyo akuponyoke kwa ujinga tu, its so sad
 
Ndio inavyokua wale ambao ulikua una fool nao around watakutoka nao au utagundua kuwa walikua no match kwa yule uliyempoteza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kweli hyo ndo huwakuta wanaume wengi hata ukiangalia Diamond kipindi yuko na Zari kila mwanamke alikuwa anajigonga, tangu waachane mademu wote wameacha kumshobokea, na hapo unapoona sio match ndo shida
 
Yap huo ni mfano mzuri sana unaoendana na uhalisia cariha
 
Na mkishasema kwaheri hua hamuangalii nyuma ooo sijui tumetoka mbali sijui nini!πŸ˜³πŸ™
Kwa vile wanawake sisi tunawavumilia tukijua mtabadilika, na nyie hamkomi, eeeh tunaanzaga kujiandaa kisaikolojia taratibu mana unaona ukibaki unajiona huyu ananiona na mapungufu ndo mana hatuli, siku tukiamua ndo basi, mi watu nilio date nao walikuwa wananisumbua kweli ila tukiachana ndo huanza kunisumbua sumbua na Mimi moyo wangu huwa haurudi nyuma hata afanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…