You can't fight for this love!!!?

ni kweli shemeji lakini lazima usikilize pande zote ili ujiridhishe, na mpaka tunafika kwako ujue tupo ICU tutajitahidi kwa uwezo wetu kuyamaliza wenyewe

i really love her
Basi madogo yamalizeni makubwa yaleteni ila kwa uwezo wake Mungu mabaya yatawaepuka

And I believe your love for her reciprocates back
 
Pole Sesten ilishawahi ntokea kama hiyo mpaka leo mjamaa anakuja home kupiga goti kulia lakini ndo ishatoka tena nayeye huwa hata haamini kama nimeweza msahau ana imani nitakuwa wake mbeleni
Najiuliza kwanini hua wagumu kurudisha nyuma nafsi zenu mkishasema "sasa basi", utafikiri sio yule alikua mnyonge na mpole na mtii kwako muda mfupi uliopita?
 
Basi ndio hivyo dada shemeji akikosea uwe na moyo laini, moyo wa kike,moyo wa huruma na mapenzi, moyo wa kukumbuka ihsani mlofanyiana, umsamehe saba mara sabini. naye nimemuusia yakwake
Hahahaha kaka angu, ondoa shaka, hata ye ananijua vilivyo, tumeumbwa kusamehe na kusahau na kuganga yajayo, yote nayafanya na kuyatekeleza kaka angu usiwe na waswas niko kwenye mikono salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…