You can't fight for this love!!!?

Nimesha jifunza kwakweli japo kwa maumivu makubwa sana maana sikuamini alipochukua maamuzi ya kuolewa na mtu mwingine. Nadhani niliweka hisia kua nam posses kama property na hawezi kuishi bila penzi langu. Matokeo yaqke akaja kuni surprise brutally
Pole sana mkuu, hope utakua bora kwa mwengine utakaempata
 
Nimesha jifunza kwakweli japo kwa maumivu makubwa sana maana sikuamini alipochukua maamuzi ya kuolewa na mtu mwingine. Nadhani niliweka hisia kua nam posses kama property na hawezi kuishi bila penzi langu. Matokeo yaqke akaja kuni surprise brutally
Tukichoka .tunachokaga kweli
 
aiseee nimejaribu kuvaa uhusika kweli inauma ila umepata funzo kaka pole sanaa.
Kuna chance huwa zinakuja kwenye maisha mara moja kakaa amini hivyoo
Asante mkuu, mambo mengine yanaletwa duniani iwe ni shule kwa muhusika
Bahati ya kupata mpenzi kama yule hazitokei mara nyingi maishani
 
Usinipe pole shemeji ila tu hakikisha unamjali dada yangu na usiumize hisia zake, kumbuka mkileta kesi mi ntakua upande wake shemeji
ni kweli shemeji lakini lazima usikilize pande zote ili ujiridhishe, na mpaka tunafika kwako ujue tupo ICU tutajitahidi kwa uwezo wetu kuyamaliza wenyewe

i really love her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…