ulikuwa zoba wake ukajifanya bingwa wa ngono....songa mbele yeshakuwa huna haja ya kujuta....Sikua naishi kwake, ila pale palikua kwake
Ndiyo hivyo bro, mambo mengine hayana budi kutokea ili tujifunze. Sema "life goes on bro"-the hard way.I learned my lesson the hard way bruda
Ulitaka advantage ya upendo wake.
Ila on the other hand unaweza ukamfanyia mtu ubaya au vituko, na wala yasikurudie, you just go on and live a happy and fulfilling life. That's the sad fact. Hii mambo ya karma ni watu kujifariji tu.
Ila sikutetei ulichofanya, binti wa watu alijiongeza akakulia timing amekupiga knockout. And now you'll forever have a scar kwa alichokufanyia. Serves you right!
Jamani Mbona Tunatishana? Ngoja Nimtafute Wangu Na Mimi Nimuombe RadhiAt some point lazima kama ulimtenda mtu visivyo, lazima yakupate tu one day ujikute unamkumbuka. Ni reality wala si kujipa moyo. Kama mlikuwa ngoma droo basi hamna lolote litakalompata yeyote.
I’ve seen it a lot of times. Machozi ya mtu mwenye haki mabaya sana.
Jamani Mbona Tunatishana? Ngoja Nimtafute Wangu Na Mimi Nimuombe Radhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamgeukagi nyuma wapi ww?? Watu wanajipigia tuu ..yan sahv Hamna msimamo wowote ..(maharage ya mbey)Yaani tena mwanamke akikupenda na akakupa moyo wake wote anakuwa yupo tayari kwa kila kitu lkn sio kukukosa wewe.
Atakubali kuwa mjinga, kudharauliwa na pengine hata kuukosa uthamani wake kwako.
Atavumilia sababu moyo wake ndo unaozungumza zaidi ya kile anachokiona kwa macho.
Lakini sasa moyo ukishasema basi there will be no point of return...huwaga hatugeuki nyuma.
Pole kwa yote ukimpata mwingine jifunze kumpenda na kumuheshimu.
Sikua naishi kwake, ila pale palikua kwake
Hiyo ni kwa wale wanawake wasiojielewa ni nini wanahitaji katika mahusiano yao na ndo maana wanaongozwa na tamaa na kukosa misimamo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamgeukagi nyuma wapi ww?? Watu wanajipigia tuu ..yan sahv Hamna msimamo wowote ..(maharage ya mbey)
Pole Sesten ilishawahi ntokea kama hiyo mpaka leo mjamaa anakuja home kupiga goti kulia lakini ndo ishatoka tena nayeye huwa hata haamini kama nimeweza msahau ana imani nitakuwa wake mbeleni
pole best, nakuja pm nijue alikutendea nini hata usimsamehePole Sesten ilishawahi ntokea kama hiyo mpaka leo mjamaa anakuja home kupiga goti kulia lakini ndo ishatoka tena nayeye huwa hata haamini kama nimeweza msahau ana imani nitakuwa wake mbeleni
Ivoo! Basi sawa mkuuulikuwa zoba wake ukajifanya bingwa wa ngono....songa mbele yeshakuwa huna haja ya kujuta....
Hahahaaaaa, fursa hiyo ujue mkuu, nashukuru kwa concern and appreciation yako'YOU CAN'T FIGHT FOR THIS LOVE'
itapendeza stori hii ikiwa kitabu (non-fiction).
mkuu nikutafutie mwandishi wa kitabu mushirikiane kuandika kitabu halafu mkitafutie publisher huko abroad, kinaweza uza mkafaidika sana.
niko serious.
Nimesha jifunza kwakweli japo kwa maumivu makubwa sana maana sikuamini alipochukua maamuzi ya kuolewa na mtu mwingine. Nadhani niliweka hisia kua nam posses kama property na hawezi kuishi bila penzi langu. Matokeo yaqke akaja kuni surprise brutallyYaani tena mwanamke akikupenda na akakupa moyo wake wote anakuwa yupo tayari kwa kila kitu lkn sio kukukosa wewe.
Atakubali kuwa mjinga, kudharauliwa na pengine hata kuukosa uthamani wake kwako.
Atavumilia sababu moyo wake ndo unaozungumza zaidi ya kile anachokiona kwa macho.
Lakini sasa moyo ukishasema basi there will be no point of return...huwaga hatugeuki nyuma.
Pole kwa yote ukimpata mwingine jifunze kumpenda na kumuheshimu.