Kwa vile wanawake sisi tunawavumilia tukijua mtabadilika, na nyie hamkomi, eeeh tunaanzaga kujiandaa kisaikolojia taratibu mana unaona ukibaki unajiona huyu ananiona na mapungufu ndo mana hatuli, siku tukiamua ndo basi, mi watu nilio date nao walikuwa wananisumbua kweli ila tukiachana ndo huanza kunisumbua sumbua na Mimi moyo wangu huwa haurudi nyuma hata afanyeje?