Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
vp umetendwa nn?nasikia unagua mahaba fever hii habari ya kweli?
Khaa!..............haya ni mageni kwangu lol! nini tena babito?
nendeni mkatafute supa gluu muurudishie huo moyo hata kama utakua na ufa ni poa kuliko ulivyovunjika mmmh! chezeya gwiji la jiji yeye.
Mhanga wa limbwata
weye mwenzio niko kwa ofc hebu usinivunje mbavu. Dogo alikua anapima kina cha maji kwa mguu anafikiri itakuwaje? matokeo yake.....................
btw mzima weye na bi mkubwa?
Wazima wote MUNGU anasaidia kichanga vipi?
kwi kwi kwi! morning The secretary!Mhanga wa limbwata
charminglady mambo?? hakuna lolote nililofanya nafsi tu niliiona inahama, na cjui kuishauri kurudi, nipo tu mhanga mimi. nitakuPM baadae!Duh, kulikoni mamito cacico mbona hivi jamani muonee huruma mwenzio, by the way ni nini amefanza????????????
jamani mi hata cjui nisemeje!! imetokea tu, kha! gfsonwin njoo nisaidie kujibu tuhuma!We Cacico umemfanza aje Young Master!? jamaa kawa mshairi ghafla,kweli love is not crazy!! afterall those publications and open declarations kuwa anakupenda sana,
ummu kulthum za huko kwenu?? wazima wote huko!vp umetendwa nn?nasikia unagua mahaba fever hii habari ya kweli?
gfsonwin si unipe offer leo brajec ya wine jamani??? ninyweeeee! nipunguze stress na machungu ya ulimwengu huu,, kha! hivi shemeji Kaizer yupo wapi mbona kimya? msalimie sugar Asprin kama umenioneapo mahali! kha!Khaa!..............haya ni mageni kwangu lol! nini tena babito?
nendeni mkatafute supa gluu muurudishie huo moyo hata kama utakua na ufa ni poa kuliko ulivyovunjika mmmh! chezeya gwiji la jiji yeye.
jamani mi hata cjui nisemeje!! imetokea tu, kha! gfsonwin njoo nisaidie kujibu tuhuma!
Young_Master, i have absolutely NO COMMENT ON THIS!