Acha tu shoga yangu... Hali tete, homa haziniishi na kichefuchefu mwenzio...... Three weeks na siku 4........
unataka kunitibua eeeeehhhhhhhhh.........
The secretary ni mke wetu mimi na Bishanga
Mi mke wa mume mmoja bado nipo kwenye onesome lakini kuna harufu ya mtu kufilisika Bishanga nakupeleka 20 some.