zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Bishanga ahsante sana kwa mualiko dah you are so handsome
unataka kunitibua eeeeehhhhhhhhh.........
Last edited by a moderator:
Bishanga ahsante sana kwa mualiko dah you are so handsome
nakusihi ndugu yangu huyo mke wa Vin Diesel atakugharimu unaweza jikuta upo mabwepande bureee!!Mamndenyi unanidharau ?
nakusihi ndugu yangu huyo mke wa Vin Diesel atakugharimu unaweza jikuta upo mabwepande bureee!!
ok ila mie sina noma na mtu, wahenga walisemaa mwenye dada........?
wewe hauoni mkwala wa Vin Diesel hapo? maana kamstopisha hata kusalimiana na weweWa ku nipeleka mabwe pande nani humu?
wewe hauoni mkwala wa Vin Diesel hapo? maana kamstopisha hata kusalimiana na wewe
ila jamaa Vin Diesel ni baunsa ndani kwa ndani huwa hajionyeshi tu oohooo!!Huyo Vin Diesel ana mpigia mbuzi gitaa
ila jamaa Vin Diesel ni baunsa ndani kwa ndani huwa hajionyeshi tu oohooo!!
lakini embu nipe story,nini kimekuvutia kwa jimama Mamndenyi mpaka unakomaa namna hiyo? au vijisenti vyake?
Yule mjimama nataka anizalie, nasikia anabahati ya kuza mapacha mapacha tena ni identical twin