Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
mimba yako ni hii nilionayo hata kama umeikanawivu tu! Lione kwanza!!!
mimba yako ni hii nilionayo hata kama umeikanawivu tu! Lione kwanza!!!
mtasubiri saaaaaaaaaaaaaana
mimba yako ni hii nilionayo hata kama umeikana
Wana mchafua my dear marejesho
wana wivu wa kike source: KJ
Hii ni habari njema sana mke wangu! Jioni ya leo tutakwenda kuongea vizuri hii mambo pale Sundown Cannivo, Kisongo!
Copy: Arushaone, PakaJimmy, Blaki Womani, werawera, Preta, Lily Flower, Mwanyasi, Dark City, KOKUTONA, Smile, Madame B, watu8, Arabela, CHUAKACHARA
Umeona ee shemeji yangu wa ukweli, hao hawana cha kufanya wana baki kuingilia mambo yasio wahusu.
New days has come eti? marejesho hongera sana naona kitu kimejibu lol
Sikuamini nilipokuoneni jana dinner Sea Cliff Arabela sharifaa amu Paloma marejesho Maeskron na Lily Flower nawashukuruni sana kwa kuitikia invitation yangu ya dinner pamoja na mambo mengine tuliyoshiriki pamoja kwenye presidential suite jana.It was a pleasure. Girls,you are so beautiful!
Copy 😡filipo Erickb52 Arushaone Mungi Baba V zubedayo_mchuzi watu8 manoah.
Mzungu yupi!? anayetukana watu humu cc..!?? nipeni jibu afu nitangaze hatua inayofuatia
mimba yako ni hii nilionayo hata kama umeikana