You are Right BASHE

Mlisema mnajivua GAMBA sasa mbona magamba yaliishia shingoni na yakavaliwa tena? CCM 2015 watabaki na Dodoma peke yake. kazikazini hata msithubutu kuweka mtu maana mtapoteza budget yenu, Mwanza ndio kabisaaaaaa msahau na hivi mnawakata mapanga wabunge ndio mmewachokoza wasukuma na wazinza mtaonja joto ya jiwe na ngereja 2015 anapitiwa kama mwenzake Masha.
 
kinacho imaliza ccm siyo makundi ila ni vitu viwili. Moja kushindwa kuondoa umasikini na pili ni uzee. Kwa sasa hakuna namna ya kukinusuru zaidi ya kukiondoa madarakani. .100% ya watu wote wanaovaa nguo za kijani wanafanya hivyo siyo kwa sababu ya kupenda sera bali ni kulinda maslahi.

hawana namna wanaona wabakie huko ili wapone njaa yao, nje ya ccm hawana ujanja.
 
q

asante BAshe, lakini chama chenu ni lini kilisikiza mahitaji watu? ninavijua mimi magamba kimekuwa kiktumia umaskini na ujinga wa watu kutawala, sasa tinasema mwisho umefika. Halima Mdee siku moja Mbungeni alisema sisiemu msipotimiza wajibu wenu , maandamana yataendelea na Pipozi pawa mutaiona. Mmetuibia sana!!!!!!!!!!!!!!


View attachment 50790

Ndg zangu Kwanza Nitumie nafasi Hii Binafsi kuwapongeza Chadema kwa Ushindi Wa Arumeru Mashariki,Kiwira,Kirumba,Liziboni na Pia Cuf kwa Ushindi Wa Kata ya Tanga

Nimeamua kufanya hivi kwa Misingi ya kidemokrasia ni wapongeze mmepewa heshima hiyo watumikieni

Ninawapongeza Pia kwakua uchaguzi huu Kama Viongozi Wa CHAMA changu Watatumia Busara basi hili nifunzo kubwa na Nina washaukuru CDM Matokeo haya kutupa Ishara kuwa Kaskazini inaanza kupotea mikononi Kwetu,Kusini Nyanda za Juu inaanza kupotea,Kanda ya Ziwa inaanza kupotea hii ni Alarm kwa CHAMA changu umewadia wakati kwa ujumbe huu Viongozi wakuu warudi ktk Round Table kujadili upya na kutazama Kama makundi yetu yakaisaidia CHAMA

Kwa Matokeo haya Kanda ya Ziwa Alikuwepo Samwel Sitta,Kwa Maana ya KIRUMBA,Mbeya Alikuwepo Mama Anne Kilango,kwa Maana ya Kiwira, Arumeru Alikuwepo Mzee MKAPA,Mzee Mkama,Mzee Lowasa,Ndg yangu Nape ,Liziboni Dk Nchimbi na maaneo haya yote Tumeshindwa umewadia wakati Wa KUJITAFAKARI na kujiangalia kwa kina na si kuja na majibu Kama Yale tuliokuja nayo Baada ya Uchaguzi Mkuu 2010,Tunatakiwa kuja na MAJAWABU

Ninadhani demeokrasia imeheshimika na CCM tumekua tukisahau wajibu wetu Wa kujadili matatizo ya watu toka mwaka 2007 Mpaka sasa 2012 ,wananchi walitupa 1st Workup call 2010 hatukuamka and this is a 2nd Workup Call hatuna Budi kuwashukuru wananchi bcs Wametupa 2nd chance ya kuamka Tujitafakari UPYA

Nimelizie kuwwapongeza CUF na CDM kwa Ushindi wao niwatakie kila la kheri Asanteni kwa kutuamsha Mara ya Pili!


Hussein Bashe Bashe

 
"Kwa Matokeo haya Kanda ya Ziwa Alikuwepo Samwel Sitta,Kwa Maana ya KIRUMBA,Mbeya Alikuwepo Mama Anne Kilango,kwa Maana ya Kiwira, Arumeru Alikuwepo Mzee MKAPA,Mzee Mkama,Mzee Lowasa,Ndg yangu Nape ,Liziboni Dk Nchimbi na maaneo haya yote Tumeshindwa umewadia wakati Wa KUJITAFAKARI na kujiangalia kwa kina na si kuja na majibu Kama Yale tuliokuja nayo Baada ya Uchaguzi Mkuu 2010,Tunatakiwa kuja na MAJAWABU"


Hao kwenye red wasubiri zamu yao 2015. Hapo ndio mtakuwa mmepata majawabu sahihi na yaliyojitosheleza.
 
Kukiri udhaifu ndio siri ya mafanikio...Hongera Bashe kwa kuwatonya wakubwa zako..lkn jua ya kwamba ndani ya ccm ukiwa mkweli unachukiwa? Chama cha Mapinduzi kinawenyewe na wenyewe ni walafi na wanyakua mali za nchi si chama tena cha wakulima na wafanyakazi. Kila mtu haswa wale wa ngazi zenye hadhi wako kimaslai binafsi si kwa ajili ya chama , wanachama wake na nchi. Mimi nadhani wacha chama kiadabishwe kwani katika hili kunakukumbuka shuka wakati kumeshakucha. Kikubwa Bwana Bashe washauri wakubwa waache ubinafsi na wawe wanatekeleza ahadi lakini wanaofanya chama kiwe imara ni kina nani? mimi nadhani ni wale walioko kwenye Mashina tena chama tawala kina mtaji wa mabalozi, lakini ukiwauliza hao walioko kwenye matawi je chama kinawajali...jibu utakalopata ni "Tunajaliwa kipindi cha uchaguzi tu" sasa unategemea nn kama hawafaidiki na chama watajituma kwa nguvu ipi? M4C watu wanajitoa ktk muda, mwili, akili na mali pia kwa sababu wanaona viongozi wanavyowajali na kweli wako sambamba na waliochini. Hata siku moja hakuna chama kusonga mbele kama hakitabadili mfumo wa CHUKUA CHAKO MAPEMA. Huku site wameshaamka bana watz wa leo sio wale wa enzi ya Nyerere hata siku moja. Watz wa leo wanaenda na wakati na kwa sababu dunia imekuwa kijiji taarifa yakitu chochote kile kinawafikia kwa wakati muafaka, hivyo mabadiliko lazima. Nawashukuru sana CDM wanaenda na wakati na kwanini vijana na wazee wasiwakimbilie. Ikiwa wako wachache tu ndani ya Bunge lakini tumeona jinsi wanavyochachafya bungeni...hawalali usingizi bungeni, wakitetea maslai ya watz wanaonekana kabisa kuwa wanachozungumza kinatoka rohoni na wala si porojo, baadhi ya wabunge wa ccm wapo waliowazuri sana na wananchi tunawakubali. Hakuna porojo nau days bana. Ningetamani siku moja nione ccm ikiwa chama pinzani ili wajifunze namna ya kuongoza watu. Naipenda Tz, Mungu Ibariki Tz sana sana endelea kuwafunulia watz hawa wazijue haki zao maana ndiko ukombozi wao uliko.

Nawakilisha..ni mtazamo tu.
 
Aha aha si ni BASHE huyuhuyu CCM ilimvua URAIA au sio huyu? BASHE ni vyema ukawashauri magamba wenzako kua maisha ya watanzania yamepanda sana na fedha zetu mnazofuja mturudishie hapo ndo tatawasamehe otherwise tutawavua uraia na kula hatuwapi ng'o
 
Well, sijali sana itakadi ya huyu kijana lakini, ni kitendo cha ujasiri pia kujitokeza na kuipongeza CDM kwa ushindi wao, I think he dare to say the truth, and the truth always will set him free!!!!!!!!!
 
Nyuma ya pazia mnacheza mchezo wa kukivunja nguvu chama chenu wenyewe, mkishindwa mnajitokeza hadharani kama watu wenye busara. Iko wapi busara hii mnapokuwa mnapiga ngoma za makundi na rushwa zisizokuwa na tija
 
Bashe uko kundi gani? Maana kuna wiki fulani za mwezi wa kumi na moja mwaka jana ulikuwa busy sana kanda ya ziwa na matayarisho ya ujio wa boss.
 
GENGE la KINA BASHE NDIO LIMETUCOST TUKAPOTEZA JIMBO KWA SABABU YA KUNG'ANG'ANIZA MAMBO,MTU WAO HUYO MKWE WA LOWASSA ALIKUA HAUZIKI KWA KUWA WAARUMERU NI WATU WANAOCHUKIA UFISADI NA MAFISADI,MGOMBEA WA CCM WALIMCHUKULIA KAMA FISADI TU KUTOKANA NA UKARIBU WAKE NA LOWASSA,MSOMALI BASHE ANAUJUA UKWELI HUU LAKINI HAWEZI KUUSEMA KWA KUWA NI MCHUNGU NA ANAOGOPA ATAWAUDHI MABOSI WAKE KINA LOWASSA
 
"Kwa Matokeo haya Kanda ya Ziwa Alikuwepo Samwel Sitta,Kwa Maana ya KIRUMBA,Mbeya Alikuwepo Mama Anne Kilango,kwa Maana ya Kiwira, Arumeru Alikuwepo Mzee MKAPA,Mzee Mkama,Mzee Lowasa,Ndg yangu Nape ,Liziboni Dk Nchimbi na maaneo haya yote Tumeshindwa umewadia wakati Wa KUJITAFAKARI na kujiangalia kwa kina na si kuja na majibu Kama Yale tuliokuja nayo Baada ya Uchaguzi Mkuu 2010,Tunatakiwa kuja na MAJAWABU"


Hao kwenye red wasubiri zamu yao 2015. Hapo ndio mtakuwa mmepata majawabu sahihi na yaliyojitosheleza.

Bashe asipoteze malengo kwa kuchanganya mambo,hii ndio kawaida ya kundi lao kila linapochemka hutafuta wa kufa nae,issue hapa ni ubunge sio huto tuvitongoji,eti anajifanya kumtaja huyu mzee wake lowassa na kuwaweka kina sitta na kilango ili kubalance mambo!
 
Ccm mkae kwenye round table kujadili nini? Hata kama mtatangaza hakuna makundi hilo halisaidii chochote, kwanza hizo kata nne mlizochukua sio kwamba ni kura halali bali ni wizi mkubwa mliofanya. Hata hivo wananchi tunaendelea kutafuta mbinu za kulinda kura zetu, ikifika 2015 mageti yote ya wizi yatakuwa yamefungwa
 
Sasa bashee, kama hizo icon zime-fail hiyo salama na ponapona ya CHAMA itatoka wapi? :A S 39:
 
Bashe ndo atleast kijana mwenye akili kidogo ccm hawa wengine ni bure kabisa, nakushauri ujiunge Chadema 2015 utachukua Nzega kiulaini ila ndani ya ccm unapoteza muda.
 
Bashe CCM siyo Mungu kwako,siyo mama wala baba yako.Kama unadhamira ya dhati basi jiunge na wapambanaji wa kweli kwa lengo la kulikomboa taifa kutoka kwa mafarao wa CCM!Siyo leo unasema hivi halafu kesho unawaambia wandishi wa magazeti yenu na Tbc yenu kuponda ukweli!yuko wapi Tido Muhando?eti kisa alijitahidi kutoa wigo sawa wa habari wakati wa uchaguzi 2010!Magamba hamfai kabisa!

Njaa baba njaa....hayo tunaweza mimi na wewe ambao hatugemei mtu kupata mkate wetu wa kila siku, tunajitafutia wenyewe... acjana na njaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom