You are not my type

Yaani pamoja na lihogo nilonalo halafu dem akinambia "You are not my type" najua anapenda kiba100
Umeona sasa, wewe una hogo ye anapenda kibamia....ukiambiwa hivyo utajiona una mapungufu?
 
Binadamu tumeumbwa tofauti sana
 
Umeona sasa, wewe una hogo ye anapenda kibamia....ukiambiwa hivyo utajiona una mapungufu?
Hapana sina mapungufu, ila nitajua anapenda viba100, hivyo nitamtafuta wa type yangu mwenye kupenda hogo na nyanya chungu
 
Binadamu tumeumbwa tofauti sana
Lakini kuna formula ina wa guide watu kwa jinsia zao...

Niamini Mimi Kuna vitu wanaume wanafanana na kuna vitu wanawake wanafanana haiwezi kuwa 100% lakini 70 parcee tuna maamuzi ya kijinsia
 
mtu anaesema hivyo ni kama yule anaesema kilema badala ya mlemavu au amekufa badala ya amefariki.

huenda kweli umesema kwa nia yako mwenyewe uliyonuia lakini mapokezi yakawa tofauti.
 
In most cases as far as my experience is concerned, the statement in question is used by rude and arrogant people. My Dear Khantwe ain't one of them though.
 
Hahahahahahaha lol! Niliwahi kumwambia mtu hivyo chuoni kwa kuhofia kugonganisha magari akagoma na kutaka tuendelee tu i.e. awe mchepuko maana alikuwa anamwagiwa sifa kibao na wenzie jinsi nilivyokuwa namjali na kumtreat as a lady. Wote tulikuwa tukiishi chuoni mie machale yakanicheza nikaona hii tamaa ya fisi itanitokea puani. Nikamwambia hapana siwezi kuendelea kuwa naye. Nilifanya maamuzi mazuri sana kwani mrembo mpya alikuwa akizuka chuoni mara tatu au nne kwa wiki tena bila taarifa! 😜


Hiyo jeuri nilikuwa nayo enzi zile za UB 40, siku hizi wa type yangu naona wanazidi kuwa wengi. Lakini nimeshikilia kwa Asprin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…