"You are not my type"

Hili nalijua mkuu. That's why i woek hard. Push myself to the Max
 
Hili nalijua mkuu. That's why i woek hard. Push myself to the Max
Ndio maana yake bob, piga kazi (chase the paper). Ku date mwanamke wakuja funga nae ndoa kama hujajipanga. Ni kujitaftia heart breaks (itakusumbua tu) istoshe huheshimiki.

Grind nd provide by any means if necessary. Kama kuna watu hawanielewi bado, kuna siku watanielewa.

Work hard, Play hard.
 
Ndio maana yake bob, piga kazi (chase the paper). Ku date mwananke wakuja funga nae ndoa kama hujajipanga. Ni kujitaftia heart breaks tu let alone heshima. Grind nd provide by any means if necessary.

Work hard, Play hard.
That's is the rule dawg. All day.....



Working hard...balling hard. I care nothing about bitches.
 
I remember the dude told me these words 'I have classy, I dont deal with scrubs' uuuh.....! Sijasahau mpka kesho. Nilimtakia heri huko aendako kwa mwenye class sawa na yake. Jamani maneno yanauma mno. Chagueni vya kutuambia hata kama hamututaki
Kuna mwingine analewa na the care nd affection unayompa to the point anai mistake for ignorance or stupidity of u then anakujia na dharau.

Sasa watu kama hawa they dnt deserve ur time and affection. Kuna mmoja ni mrembo alaf kishua balaa....kuna wakati kitambo kdgo alinikera mno, nikamwambia

" you are never gana be a blessing in my life hata itokee una mwanamme mwingine huko mbeleni, sidhani "

Baadae niliumia sana kwann nilimwambia vile cz u can tell ilimuumiza sanaa.....
 

Umeongea point kabisa, niliwahi kumtokea mmoja hivi na akaniambia the same words, "you arent my type" baada ya mwaka mmoja akaolewa na jamaa mmoja hivi mwenye nazo, jamaa kafilisika dada sasa anataka nirudi kwakwe na mm namwambia 'you arent my type".
 
Kuna moja alinambia hivyo, tena akaja juu kabisa na kusema anapenda intelligent mature guys, as if I wasn't, labda kwa kua muda wote hua napiga t~shirt na jeans aina moja tu rangi ileile daily, iwe ofisini, kwenye date, hata interviews.

Sasa nisikilizie kaja kwenye kampuni nayofanya kazi kuomba internship, wakamuweka chini ya uongozi wangu, nikampitisha bila kinyongo maana qualifications alikua nazo, tumekaa tunapiga kazi hajui mambo kibao, nikakaa namnyoosha viji~mistake anavyofanya daily, tena najifanya ka sijui alichoniambia siku za nyuma kidogo, ofisini wananiitaita mara kibao kutoa idea kwenye solution flani, inshort tunaheshimiana sana, mdada wa watu alikua anaona aibu balaa.

Anamaliza internship anakuja kunitumia message ati mimi type yake tujaribu kuanza upya, nilimkimbia ka ngoma. Wanasema don't judge the book by its cover.
 
The worst thing one can do ni kurudiana na mwanamke wa aina hii.

Mtu hakuona kabisa umuhimu wako from the start. Majivuno, kejeli, dharau.....now kaona uko all set up anabadilika. No Thank You !!

Mimi kuna chick mmoja alichumbiwa kabsa na jamaa flan hivi baadae kuja kuniona akawa analeta mazoea....kanakwamba am ditch yule jamaa aliyemchumbia then niwe nae mimi. Daaah for a moment i felt soo much pain nikasema hawa wanawake sio kabisa. Kama ni kula ningeshakula sanaa....ila my inner conscience wudn't let me. Nop !!
 
hahah some of us huyo right person got hit by a truck ... kikubwa ukiambiwa not my type unareply YOU TOO and life goes on..
 
Umeongea point kabisa, niliwahi kumtokea mmoja hivi na akaniambia the same words, "you arent my type" baada ya mwaka mmoja akaolewa na jamaa mmoja hivi mwenye nazo, jamaa kafilisika dada sasa anataka nirudi kwakwe na mm namwambia 'you arent my type".
Huenda yeye yupo kingdom fungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…