You are beautiful lady kumbe?

You are beautiful lady kumbe?

Next time usirudie tena, kukaa mbali na wewe ni tabu kubwa sana kwangu.

I missed you darlie, you are my everything....you mean lots to me.

Siwezi rudia mpenzi, sitaki kukuua kwa presha, nakupenda munooooo
 
Hahahahahaaaaaa
sosoliso, Honey Faith, kwa taarifa.

Baby shusha neti nakuja. Get prepared for that thing..... Leo nataka upae.

Na wewe yatakushinda tu na ni kawaida yako maana wewe ni kama mchinjaji wa kuku wewe kazi yako kumuandaa ila walaji wengine hata haujuagi ladha zao....
 
Last edited by a moderator:
Absolutely! Ukiona hapokei complements zako jua hamna kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom