You are beautiful lady kumbe?

You are beautiful lady kumbe?

Sidhani kama ni kweli. Mwanamke anajisikia vizuri anapoambiwa yeye ni mrembo kila mara, hata na mwanamke mwenzie. Kumwambia yeye ni mrembo haimaanishi unamtaka, labda vinginevyo.
 
babu Asprin tell me please...
Oh darling..... Nisemeje zaidi ili unielewe?

Si ulinambia unanipenda? Unahisi mi huwa napendwa na nani zaidi? Of course you are beautiful... very very beautiful.

Will always love you.
 
Oh darling..... Nisemeje zaidi ili unielewe?

Si ulinambia unanipenda? Unahisi mi huwa napendwa na nani zaidi? Of course you are beautiful... very very beautiful.

Will always love you.

Asantee my baby...mtamu mtamu
 
sweetie nilitaka unimithi kidogo, can't wait am coming without baby
Next time usirudie tena, kukaa mbali na wewe ni tabu kubwa sana kwangu.

I missed you darlie, you are my everything....you mean lots to me.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom