Tuwekee video ya wapalestina walitoa Tigo kwa Askari wa IDF propaganda za maneno hatutaki!!Acha unafiki mbona Wapalestina wanalawitiwa kila kukicha huko magerezani umewahi ona mkiwaita Israel magaidi? Fuatilia habari za westbank kule hakuna Hamas ila kila siku wanateswa, kuuwawa, kubakwa na kuporwa makazi ila walowezi wa kiyahudi au IDF hawaitwi magaidi.
Hili neno gaidi ni la kisiasa sana kuliko uhalisia. Hata hiyo Israel kipindi inapambania kupata uhuru ilikua na vikundi vinalipua treni na kambi za jeshi, mashule na hospitali za serikali ila hawakuwahi kuitwa magaidi.
So tuache kulishwa propaganda, kama issue ni matendo then Hamas na IDF wote wanakua kikundi kimoja.
Tuwekee video ya wapalestina walitoa Tigo kwa Askari wa IDF propaganda za maneno hatutaki!!
Kwenye video hiyo yote sijaona mpalestina yeyote akilawitiwa na askari wa IDF hii inaonyesha wazi hizo ni Propaganda za kulichafua Taifa teule la Myngu!!
View: https://youtube.com/shorts/NGVzXhQGrZE?si=rsNaDpRoBUIgiecj
Taifa teule linalawiti huku biblia inasema wafi**ji wote hawataiona mbingu? Au kuna Biblia mbili siku hizi.
Punguza ubishi mbona walifikishwa hadi mahakamani. Na aliyevujisha hiyo video ni Major General Yifat Tomer-Yerushalmi na alijiuzulu baadae kwa kutopendezwa na ubakaji huo.Kwenye video hiyo yote sijaona mpalestina yeyote akilawitiwa na askari wa IDF hii inaonyesha wazi hizo ni Propaganda za kulichafua Taifa teule la Myngu!!
Taarifa yenyewe ta kuyoka wikipedia ambayo hata mimi naweza ingia na ku-edit!!Punguza ubishi mbona walifikishwa hadi mahakamani. Na aliyevujisha hiyo video ni Major General Yifat Tomer-Yerushalmi na alijiuzulu baadae kwa kutopendezwa na ubakaji huo.
Hivi hizo tabia za ushoga zinaakisi taifa teule? Acheni kutetea ujinga.
Punguza ubishi hata western media imeripoti. Hii ni Channel 4 News inamilikiwa na serikali ya uingereza. Kwenye video watuhumiwa wamepelekwa hadi mahakamani.Taarifa yenyewe ta kuyoka wikipedia ambayo hata mimi naweza ingia na ku-edit!!
Ni Propaganda tu za Waarabu/Waislamu kutaka kulichafua Taifa teule la Mungu!!
Oct 07,2023 magaidi walifanya unyama wa kutisha wa kubaka watu huko Israel lakini waarabu/waislamu wamewatunzia siri sasa kapigwa miti mpalestina mmoja tu kelele dunia nzima mpaka kwenye Wikipedia huo ni ujinga uliopitiliza!!
Kama wao waliweza kubaka Oct 07,2023 kwa nini wao wasilawitiwe? Au kwako wewe Wayahudi kubakwa ni sawa lakini Waarabu kulawitiwa ni dhambi?
Propaganda zenu hazitaweza kulichafua taifa teule mnateseka bure tu!!
Hizo ni Political Propaganda huyo Mfuga Midevu na Majini unamwaminije? Toka lini mwarabu kamsema vizuri Muyahudi? Kwa nini wasiweke video hao wafugwa wakilawitiwa? Au kwa ujinga wako neno Sexuall abuse ni kulawitiwa? Acha ujinga wako!!Punguza ubishi hata western media imeripoti. Hii ni Channel 4 News inamilikiwa na serikali ya uingereza. Kwenye video watuhumiwa wamepelekwa hadi mahakamani.
Ona na huyo Afisa wa IDF aliyejiuzulu kwa kuvujisha video.
View: https://youtu.be/LKsQFt3oTyE?si=bGaemcejK8zrUvhT
Hizi siasa ndogondogoYONI NETANYAHU ALIHESHIMIWA ENTEBBE—MIAKA 50 BAADAE
Sanamu ya shaba ya Luteni Kanali Yoni Netanyahu sasa imesimama katika kituo cha zamani cha Uwanja wa Ndege wa Entebbe, ikizinduliwa katika kumbukumbu ya miaka 50 ya Operesheni Entebbe.
Yoni aliuawa alipokuwa akiongoza uokoaji wa mateka wa 1976.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliongoza sherehe hiyo.
View: https://x.com/mossadil/status/2083784686954746187?s=61
🤣🤣🤣🤣Anagalia sana sanamu ya Yoni Netanyahu isikulawiti.
Nimekuwekea mpaka watuhumiwa wakipelekwa mahakamani na aliyevujisha video anakiri na amejiuzuru alafu wewe myahudi wa Mpitimbi unajua sana kuliko IDF?Hizo ni Political Propaganda huyo Mfuga Midevu na Majini unamwaminije? Toka lini mwarabu kamsema vizuri Muyahudi? Kwa nini wasiweke video hao wafugwa wakilawitiwa? Au kwa ujinga wako neno Sexuall abuse ni kulawitiwa? Acha ujinga wako!!
Nakuambia hizo ni Political-Propaganda kuharibu kulichafua Taifa Teule la Israel kitu ambacho hamuwezi kufanikiwa na mtachafuka wenyewe na Wafuga Midevu na Majini wenzako!, Kwa ujinga wako kila anayefikishwa ni mkosa!?Nimekuwekea mpaka watuhumiwa wakipelekwa mahakamani na aliyevujisha video anakiri na amejiuzuru alafu wewe myahudi wa Mpitimbi unajua sana kuliko IDF?