William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Bongo bwana tumedanganyana weee kuwa tuko sawa wananchi wote ni ndugu moja, pesa sio msingi wa maendeleo, blah! blah! blah! aahhhhmimi siwezi kulala usingizi mpaka Afrika nzima iwe huru, afadhali kuwa masikini kuliko kuwa tajiri na the rest of the story, blah! blah! blah! sasa hawa ma-billionaire wametokea wapi?
- Kumbe zilikuwa kamba tu, mimi ninavyojua washitakiwa kama hawa mali zao zote zilitakiwa kuwa frozen mpaka kesi itakapokwisha na mkono wa sheria kuridhika kuwa hawana hatia ndio wangeruhusiwa kushika tena mali zao, lakini bongo hizo hizo mali walizoiba ndio dhamana ya kuwatoa rumande,
- Only in Tanzania!