Yo yo apona

AljuniorTz

JF-Expert Member
Jan 6, 2009
544
17
Pole sn mkuu yo yo; kwa mujibu wa Masanilo alituhabarisha ya kuwa ulijeruhiwa ktk kile kizaazaa cha mabomu mbagala.

Tuweke wazi mkuu ili tuondokane na teteai hizi.
 
Pole sn mkuu yo yo; kwa mujibu wa Masanilo alituhabarisha ya kuwa ulijeruhiwa ktk kile kizaazaa cha mabomu mbagala.

Tuweke wazi mkuu ili tuondokane na teteai hizi.
niko gado mkuu nilikuwa nagawana umaskini visiwani......
 
Thanx mkuu, maana nilihisi ndugu yako anakuletea uchuro hasa baada ya kuanza kudai unamnyatia bellies :rolleyes:

Teh teh teh so funny.....huyu jamaaa ni hatari kwa mademu wenye wezere ndo maana namlinda Bellies ....shem yo yo stay away!
 
Teh teh teh so funny.....huyu jamaaa ni hatari kwa mademu wenye wezere ndo maana namlinda Bellies ....shem yo yo stay away!

Ndio maana tangu aliponiambia alikuwa kisiwani sina amani kabisa; sina hakika km hakupita pale home kwangu michenzani maana...............
 
Teh teh teh so funny.....huyu jamaaa ni hatari kwa mademu wenye wezere ndo maana namlinda Bellies ....shem yo yo stay away!

All in all bora kasalimika na vibomu-mbagala. Kuhusu kumnyatia Bellies wako, hawezi kabisa maana mmeshibana vilivyo. Huyo ni shem in cap letters, heshima mbele!...
Pia kipigo cha Arsenal kilichangia kumpoteza kwa muda jamvini, si unajua arsenal huyo..
Aljuniortz hujui hili? Basi ndo ujue mchanganyiko wa mabomu+kipigo cha ze ganaz ndo kilimjeruhi..Naam,sasa kapona kama kawa...
 
kwa hiyo yoyo umekanusha kwamba haukudhurika na mijibomu ya mbagala?
karibu jamvini mkuu
 
Mkuu Yo Yo pole sana lakini Bellies ana mdogo wake kasimama kuliko yeye nitafute nitakusababishia ila ule ugonjwa wetu NO.
 
Back
Top Bottom