Hiki ameandika mjerumani na anaitwa ccf dondo.... Ukicheki mtandaoni kipo ila kiutaalamu nimeshindwa kukipakua.... Na hapo ndo buku mbili zangu zinapokuhusu.Sorry mkuu hivyo vitabu vya kiswahili asilimia kubwa havipatikani.
Acha kurukwa na akili wewe Mkaa nyumbani kwa Dada yakoDaaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!
Akili za Kigwangala hizi! Hivi ukikuta tu sehemu kuna shamba unaanza kulima! Hata kama sio lako, hata kama huna jembe, mbegu wala mbolea, wala soko!Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!