Hapana bhaana inategemeana na MTU na MTU mi x wng ni rafiki yng,kaka yng pia n msaada wng na mshauri wng Wa karibu saaana na hatuna mpango Wa kupasha kiporo...chukulia poa tuuu
Kama huwezi kuipata attention ya mpenzi wako achana naye. Atakusumbua na hutakuwa naye kwa amani.
Tafuta mwingine
Lazma watakumbushiana tuu.
Mpagawishe amsahau ex wake...otherwise utaisoma namba
Mpagawishe amsahau ex wake...otherwise utaisoma namba
Hapana bhaana inategemeana na MTU na MTU mi x wng ni rafiki yng,kaka yng pia n msaada wng na mshauri wng Wa karibu saaana na hatuna mpango Wa kupasha kiporo...chukulia poa tuuu
Kwann?? Kwan ni lazima. So ww ukiwa mpenz wangu Lazima mtakumbushiana na wapenz wako wa zaman hata kama ntakuwa nakufikisha.
Kama wanawasiliana na wanaambiana wamemissiana unategemea nini kama wakikutana?
Wana jamvi,
Nina mschana ambae alikuwa na jamaa yake huko nyuma sasa ikatokezea wakaachana ila mimi nilikuwa sijui kama wameachana na kama ana mtu nilimfuatilia mschana yule kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu mpaka akaingia line,tunaanza maisha ya kama bf na gf tumedumu kwa zaidi ya mwaka now tangu niwe nae kwenye mahusiano siku moja aniambia background yake kama alikuwa na mtu lakini waliachana lakini kumbe yule mjamaa huwa siku moja moja anatumia SMS kuwa amemmiss nk.Siku moja nikajitoa ufahamu nikaichukua simu yake nikasoma text za yule mjamaa kumbe huwa wanachart na jamaa huwa anamkumbushia mambo ya nyuma.
Me naomba mnisaidie wanajamvi maoni yenu.
1)Je iyo ina maana uyo mschana bado anampenda uyo jamaa?
2)ni sahihi kwa mschana kuwa katika uhusiano mwengine mpya na stil kuwa namazungumzo ya simu au messeji na boy friend wake wa zaman?
Nahitaji msaada jamani sio msaada wa matusi unahitaji ushauri.
Asanteni
Kama huwezi kuipata attention ya mpenzi wako achana naye. Atakusumbua na hutakuwa naye kwa amani.
Tafuta mwingine
wakichart graph kunashida gani?