Yeye nampenda lakini SMS wanazotumiana hapana

Yeye nampenda lakini SMS wanazotumiana hapana

Wana jamvi,

Nina mschana ambae alikuwa na jamaa yake huko nyuma sasa ikatokezea wakaachana ila mimi nilikuwa sijui kama wameachana na kama ana mtu nilimfuatilia mschana yule kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu mpaka akaingia line,tunaanza maisha ya kama bf na gf tumedumu kwa zaidi ya mwaka now tangu niwe nae kwenye mahusiano siku moja aniambia background yake kama alikuwa na mtu lakini waliachana lakini kumbe yule mjamaa huwa siku moja moja anatumia SMS kuwa amemmiss nk.Siku moja nikajitoa ufahamu nikaichukua simu yake nikasoma text za yule mjamaa kumbe huwa wanachart na jamaa huwa anamkumbushia mambo ya nyuma.

Me naomba mnisaidie wanajamvi maoni yenu.
1)Je iyo ina maana uyo mschana bado anampenda uyo jamaa?
2)ni sahihi kwa mschana kuwa katika uhusiano mwengine mpya na stil kuwa namazungumzo ya simu au messeji na boy friend wake wa zaman?

Nahitaji msaada jamani sio msaada wa matusi unahitaji ushauri.

Asanteni
Dude, Old is Gold....
 
Mapenzi huwa hayaishi kama kweli walikuwa wanapendana, hata wakikwaruzana hukumbukana hata wakiachana siku wakikutana wataanza upya, take care.
 
Ningekuwa mimi ningemuwekea condition zifuatazo..
Anikutanishe na huyo jamaa tukiwa watatu na aeleze anampenda nani.. hapo ntachimba mikwara ya kutosha.

Abadilishe namba ya simu haraka iwezekanavyo.

Akishindwa hayo atanisoma namba.
 
binafs me naona sio suara zuri kwa watu mlioachana kuendelea kuwasiliana ukiwa ndan ya mahusiano mengne, labda mpenz wako awe anammiss kwa vitu vingne kama care,maneno matam, na vitu vingne lakin kama jamaa alikua mzuri kwenye game.. ooooooh.. babu.. hapo uwezekano wa kukumbushia ni 98% amin usiamin..
 
Back
Top Bottom