Yeye mke wa mtu mi mme wa mtu lakini.......

Yeye mke wa mtu mi mme wa mtu lakini.......

mwana ukitaka uingie na cm chooni mchome huyo dada pia jiandae kupoteza amani nyumbani kwako
 
Sasa tukushauri nini?
wewe mwenyewe una entertain kila kitu
halafu unakuja kuomba ushauri
 
mi habari nusunusu hizi! we twanga alafu ndio uanike hapa tukupe ushauri namna kushughulika nalo. Pamoja na kwamba hujakanyaga lakini bado unakosa kwenda lunch vichochoroni na mke wa mtu alafu .... mpaka ikavuka nanilii... Si bora ungemchapa nao ambapo bado kosa lingekuwa hilohilo?
 
Duuu!!we chapa tu kwan nn ka analipa pouwar life lenyewe fupi!!
 
kwa haraka sana inaonesha upo under 25 na ndio mana hujielewielewi means ur stil at foolishage.yan kaka umeoa ukiwa bado hujitambui,iv ni kwanin ulikimbilia huko ukiwa bado hujamaliza ujana wako? tena bado una ndoa changa sana,na hata ivo unaomba ushaur et unatembea na mke wa mtu.MKE WA MTU SUMU kaka badilika
 
Wanajamii naombeni mtizamo wenu kwenye hili:
Mim ni kjana nimeoa na nina mtoto 1 na ninafanya kazi serkalin, sasa ofisin kwetu kuna mdada kaolewa kwa sasa ana watoto 2 na huyo mtoto wa pili hapishani sana kiumri na mwanangu.
Wakati nafanya mipango ya harusi alikuwa ananitania sana pale ofcn mara naona sku hiz umechange muondoko au ndo kwa ajil ya haruc japo mim binafc naamin hapakuwa na changes zozote na mambo mengine mengi.
Sasa imeenda hiyo sku moja nikawa naongea nae nikagundua katika masomo yake tumewahi kusima chuo kimoja lakin 4 ze tim b hakuna aliyemjua mwenzake.
Mim nikawa namtania ningeona enz hizo ulivyokuwa m..... Sema tu unabahati nilichelewa.
Sasa tumeenda mpaka hivi majuzi kama utani ananiambia twende lunch mim nikachukulia kawaida kama tufanyavyo sku zingine japo sku tulikuwa wawili tu.
Ila sehemu aliyonipelka ndo ilinipa masha manake tulijikuta tunaruka mipaka ambayo niliskitika sana.
Sasa ananinishangaza mara ananiambia nisitembee mbele yake at muondoko unam.... Mara ananiambia habari za asubuhi mpenzi wangu. Sjui nyinyi waungana mnalionaje hil mim binafc nimejipanga kuyashinda haya ila nimelileta kwenu kwa ushauri zaid na kwa sababu ni story ndefu niishie hapa nisiwachoshe.

Hao ndio wanawake mazee tena hawa walioolewa hawa watakuingiza mkenge uje utafunwe kiboga, kaa nae mbali huyo ila we nawe unajifanya kuomba ushauri wakati ushazama kwenye ushetani? Hao ndiyo wanawake wa kisasa subiri kuna siku atakuambia mumewe huwa hamridhishi ili ukamgegede we subiri tu maana siku hizi wanaficha umalaya wao kwenye kisingizio mume hamridhishi
 
we si una mkeo
acha tamaa bna mheshimu mkeo!
huyo dada ashindwe kabisa!
z just devil at work!

 
Wanajamii naombeni mtizamo wenu kwenye hili:
Mim ni kjana nimeoa na nina mtoto 1 na ninafanya kazi serkalin, sasa ofisin kwetu kuna mdada kaolewa kwa sasa ana watoto 2 na huyo mtoto wa pili hapishani sana kiumri na mwanangu.
Wakati nafanya mipango ya harusi alikuwa ananitania sana pale ofcn mara naona sku hiz umechange muondoko au ndo kwa ajil ya haruc japo mim binafc naamin hapakuwa na changes zozote na mambo mengine mengi.
Sasa imeenda hiyo sku moja nikawa naongea nae nikagundua katika masomo yake tumewahi kusima chuo kimoja lakin 4 ze tim b hakuna aliyemjua mwenzake.
Mim nikawa namtania ningeona enz hizo ulivyokuwa m..... Sema tu unabahati nilichelewa.
Sasa tumeenda mpaka hivi majuzi kama utani ananiambia twende lunch mim nikachukulia kawaida kama tufanyavyo sku zingine japo sku tulikuwa wawili tu.
Ila sehemu aliyonipelka ndo ilinipa masha manake tulijikuta tunaruka mipaka ambayo niliskitika sana.
Sasa ananinishangaza mara ananiambia nisitembee mbele yake at muondoko unam.... Mara ananiambia habari za asubuhi mpenzi wangu. Sjui nyinyi waungana mnalionaje hil mim binafc nimejipanga kuyashinda haya ila nimelileta kwenu kwa ushauri zaid na kwa sababu ni story ndefu niishie hapa nisiwachoshe.

Hapo penye red, kumbe wewe ndo ulilianzisha alafu unatuuliza nini, kwenda zako, amua kama ulinywe au uliteme. Mke wa mtu sumu baba
 
Ulimueka close mwanzoni that's why amekua mwepesi kupitisha vishawishi kwako...try kuepuka mazoea sana nae kama wataka linda ndoa yako na kujiepusha na usaliti.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sasa ninyi watu mliokwenye ndoa mnazingua kuleta habari za kilooser hivi unategemea watu tusio kwenye ndoa su wenye mtazamo na ndoa tufanyaje..wewe umeoa jiheshimu weka mipaka ktk maisha yako...sio unaleta habari za kilooser sasa ushauriwe nin hapo...?
 
Endelea kuvuka mipaka utajikuta upo afghanistan
 
Back
Top Bottom