Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,670
- 11,769
yaH! wakuvanga ndio hayupo tena hapo!
Anajiita baba andunje. Itakuwa ndie aliyekuwa anapiga picha
yaH! wakuvanga ndio hayupo tena hapo!
Alikuwa safarini akiitangaza Tanzania!Mmoja hayupo hapo kwenye picha ya kwanza
View attachment 97376
Nafikiri sasa wataacha maana muasisi wa huo mtindo ametangulia mbele za haki.
Bado tu kuna watu wazima wanapiga picha na dole?
Ni kweli mkuu Langalanga a.k.a "formula one" imechomoka tayari.wenzake wanaunga tela