Yeye huwa analeta mwanaume nisipokuwepo!

mwallu dogo kaharibu, sikatai ila hiki kitendo cha mzee mtu mzima ni cha kupongeza, ni cha kiuungwana, kinaendana na umri wake kweli?
 
Last edited by a moderator:
babu Dark City hembu ongeo wewe mzee mwenzie. Sio kwamba landlord altaka kuona kipoch manyoya ya mjukuu kweli?

Huyo Mzee ni mpuuzi....kama shida yake ni kuangalia watu wako uchi si angeenda akaangalia mapicha kibao mitandaoni?

Kwa ufupi mzee naye ana dhambi kama ya huyo kijana aliyefanya ufedhuli kuleta hawala/malaya kwenye kitanda cha mchumba wake!

Babu DC!!
 
Mimi siwaelewagi wanaume aiseeh, hivi utapelekaje mtu usiyekuwa na mpango naye kwako afu unaenda kulala nae kwenye kitanda unacholala na mkeo/mchumba/mpenzi wako?

Naomba usiwasingizie wanaume...mwongelee huyo kijana mpuuzi ambaye hata hajui values za kuwa mume au BF??

Sie tulifundishwa kuwa kitanda chako na mkeo ni mahali patakatifu sana.....Kuleta uchafu pale ni sawa na kujitafutia laana ambayo inaweza kukufanya kichaa!!

Kuna wengine hata mke akifariki wanaamua kubadili kitanda kabisa.....

Ikulu yangu na Bibi is very special and nobel!

Babu DC!!
 
Huyo mzee mwenye nyumba Ni mpuuzi kweli,mambo yangu yanamhusuje kwanza?Yeye anikolomea nikishindwa kulipia pango Tu.Nisingemruhusu hata kuingia ndani.
 
heshima ingekuwepo pia

Umesahau kwamba mchawi akimalizana na wengine anaanza wanae??

Mtu wa namna hiyo siyo wa kuchekea kabisa.....akiona mitego haikamati hata walioshiriki naye kuweka hizo tricks anaweza kuwafanya chambo....

Acha kabisa kuchukulia mambo kirahi rahisi kiasi hicho mdogo wangu...

misemo mingi unanikomaza mjukuu wako.......

mi huyo baba nampongeza sana tu kuna baadhi ya watu hawana adabu kabisaa

wanatuchoresha wapenzi wao...ukotoka we mwingine anaingia huyo baba kashindwa kuvumilia hizo tabia
 
Kweli hili ni game, wengine wanamtetea baba menye nyumba na wengine wankandia.
Hivi, nikilipa kodi nyumba, lazima uanza kuchunguza wageni wangu?
Huu ni uchuro tu wa baba mwenye nyumba!
 
Mabinti zake walishamshinda siku nyingi anakuja kuingilia habari za mabinti wa watu.
Mi sitetei uovu lakini haiwezekani mi kodi nalipa uniingilie kiasi hicho aisee! How does one dare!
Hivi angekuta wanajisomea angesemaje?

Sure, kaingilia right to privacy, unaweza mshtaki kabisa, mambo mengine hayamhusu kabisaaa
 
Hahaha, burudani ya JF, dadaz wengi wanakubaliana na landlord na wanaume wengi wanapinga, simple mchanganuo unaonyesha wazi kuwa wanaume wengi ambao hatujaoa tunapenda kuvusha kama steady galfriend hayupo around.
 
Huyu mzee angekutana na wadwanzi lazima angeinamisha yeye badala ya yule demu.
 
Hahaha, burudani ya JF, dadaz wengi wanakubaliana na landlord na wanaume wengi wanapinga, simple mchanganuo unaonyesha wazi kuwa wanaume wengi ambao hatujaoa tunapenda kuvusha kama steady galfriend hayupo around.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom