Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,355
- 11,063
- Thread starter
-
- #21
Nipe hiyo mistar inayosema Yesu MUNGUUshaoneshwa kwa mifano na ukatajiwa mistar ya Biblia.
Au ulikuwa unataka na mistar ya Quran ndio ujue kuwa hoja ina mashiko?
Lete ushaidi Yesu ni Mungu sio uniambie watu wanaamini, wahindi wanaamini ng'ombe ndio munguHoja ya kijinga sana hii, watu wanaamini ni Mungu halafu we unakuja kupinga si Mungu, haya sasa muonesho huyo Mungu tumuone
Kwahyo chat GTO ndo reference Yako ww mwenyew unashindwa kuchambua na kutetea Yesu ni Mungu?Rafiki, Yesu ni Mungu kamili na ni mwansdamu kamili; asili mbili ndani ya mmoja. Kuhusu Uungu wa Yesu nitakupa ushahidi wa namna mbili moja ni uzoefu wangu na ya pili ni kimaandiko.
1. Yesu ni Mungu mana anafanya mambo ambayo mwansdamu hawezi kufanya:
a) ameniokoa dhambini (kwa jina lake Nina ushindi dhidi ya dhambi)
b) amenipa Amani, furaha na Upendo ambayo sikuwahi kupata kabla sijamjua
c) amenijaza Roho wake, it is quiet and amazing experience
2. Yesu you hai Leo na anajidhihirisha kwangu ref. Yoh. 14:22
SASA USHAHIDI WA KIMAANDIKO
Ushahidi wa Kimaandiko Kuwa Yesu ni Mungu
Biblia inatoa ushahidi mwingi unaoashiria kwamba Yesu ni Mungu. Zifuatazo ni baadhi ya dondoo muhimu za kimaandiko zinazoelezea uhusiano huu:
Madai ya Yesu Mwenyewe Kuhusu Uungu Wake
Yesu mara kadhaa alijitambulisha kwa njia zilizowazi na zisizo wazi kuwa Yeye ni Mungu, au kuwa na mamlaka na sifa za Kimungu:
* "Mimi na Baba tu umoja" (Yohana 10:30): Kauli hii ilielezwa kuwa ni kashfa na Wayahudi, kwani walielewa wazi kuwa Yesu alikuwa akijifananisha na Mungu.
* "Mimi Ndimi Njia, Kweli na Uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi" (Yohana 14:6): Hii inaonyesha mamlaka ya kipekee ya Yesu katika uhusiano na Mungu Baba, na kwamba hakuna anayeweza kumkaribia Mungu isipokuwa kupitia Yeye.
* "Kabla Abrahamu hajakuwapo, mimi niko" (Yohana 8:58): Hapa Yesu anatumia jina la Mungu lililotumika katika Agano la Kale, "Mimi NIKO" (Kutoka 3:14), akijifananisha na Mungu asiye na mwanzo wala mwisho. Hili pia liliwachukiza sana Wayahudi na walitaka kumpiga mawe.
* Kusamehe Dhambi (Marko 2:5-7): Yesu alidai uwezo wa kusamehe dhambi, jambo ambalo Wayahudi waliamini linaweza kufanywa na Mungu pekee.
Madai ya Waandishi wa Biblia Kuhusu Uungu wa Yesu
Waandishi mbalimbali wa Biblia walimtambua Yesu kama Mungu:
* Yohana 1:1-3, 14: "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli." Hapa Yohana anamwita Yesu "Neno" na anasema "Neno alikuwa Mungu" na kisha anathibitisha kuwa "Neno alifanyika mwili," akimaanisha Yesu.
* Wafilipi 2:5-8: Paulo anaeleza kuwa Yesu, "aliyekuwa na namna ya Mungu, hakuhesabu kuwa kunyakua kuwa sawa na Mungu, bali alijifunua mwenyewe, akatwaa namna ya mtumwa." Hii inaonyesha kwamba Yesu alikuwa Mungu tangu mwanzo.
* Wakolosai 1:15-17: "Yeye ndiye mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote; kwa maana kwa yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo duniani, vinavyoonekana na visivyoonekana, ikiwa ni viti vya enzi au enzi au falme au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa yeye na kwa ajili yake." Hapa, Paulo anamwonyesha Yesu kama Muumbaji wa vitu vyote, sifa ambayo ni ya Mungu pekee.
* Waebrania 1:8: "Bali kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, ni cha milele na milele; Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya uadilifu." Mwandishi wa Waebrania anamwita Yesu waziwazi "Mungu."
* Tito 2:13: "tukitarajia tumaini lenye baraka, yaani, kujidhihirisha kwa utukufu wa Mungu wetu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo." Paulo anamwita Yesu "Mungu wetu mkuu na Mwokozi wetu."
* Isaya 9:6 (Unabii wa Agano la Kale): "Maana mtoto amezaliwa kwa ajili yetu, tumepatiwa mtoto mwanamume; na ufalme utakuwa begani mwake; naye ataitwa jina lake Mshauri wa Ajabu, Mungu mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani." Unabii huu, ambao kwa ujumla unaaminika kumhusu Yesu, unampa majina yanayoelezea uungu wake.
Miujiza na Mamlaka ya Kimungu ya Yesu
Yesu alifanya miujiza na kudhihirisha mamlaka ambayo yanaweza kutokea kwa Mungu pekee:
* Kutuliza Dhoruba (Marko 4:35-41): Yesu alituliza dhoruba kali kwa amri yake, akionyesha mamlaka juu ya asili.
* Kufufua Wafu (Yohana 11:43-44, Luka 7:11-17): Yesu alifufua watu kutoka kwa wafu, ikiwemo Lazaro, binti ya Yairo, na mwana wa mjane wa Naini.
* Kuzidisha Chakula (Marko 6:30-44): Alilisha maelfu ya watu kwa chakula kidogo tu, akionyesha mamlaka ya kimuujiza juu ya ugavi.
* Kukubali Ibada (Mathayo 28:17, Luka 24:52): Baada ya kufufuka kwake, wanafunzi walimwabudu Yesu, na Yeye hakukataa ibada hiyo. Katika Biblia, ibada inapaswa kutolewa kwa Mungu pekee.
Huu ni muhtasari wa baadhi ya ushahidi wa kimaandiko unaoelezea kuwa Yesu ni Mungu.
Yesu sio Mungu acha ngonjera leta hoja ujibiweYESU halinganishwi na pesa. Ukileta ahadi ya kuongozwa sala ya toba na kugeuka na kuokoka nakuletea ushahidi.
Ungeitafuta hiyo kesi kwanza, wakongwe wanaijua hiyo kesi na ilifanyika Morogoro mjini.Sikilza wew hakuna mtu atafungwa Kwa kusema Yesu Sio MUNGU labda alitukana au alikejel kupita ipaka
Acha ujinga ww ntaifute Ili iweje ww sindo useme hapaUngeitafuta hiyo kesi kwanza, wakongwe wanaijua hiyo kesi na ilifanyika Morogoro mjini.
Badala ya wewe "unayekana" kuthibitisha, unataka wengine ndio wathibitishe? Kanuni ya ushahidi inasema "he who claims must prove." Wewe ume'claim' kwamba "Yesu siyo Mungu". Thibitisha sasa!Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
Arianism
Hoja yangu ni moja tu:Yesu sio Mungu acha ngonjera leta hoja ujibiwe
KwaheriBadala ya wewe "unayekana" kuthibitisha, unataka wengine ndio wathibitishe? Kanuni ya ushahidi inasema "he who claims must prove." Wewe ume'claim' kwamba "Yesu siyo Mungu". Thibitisha sasa!
Hiyo ni Imani sio hojaHoja yangu ni moja tu:
YESU NI MUNGU
Alizaliwa, alihubiri injili, na kusema yeye ni "njia, ukweli na uzima" na kwamba yeye yuko "ndani ya baba yake, na baba yake yuko ndani mwake". Alifufua watu, aliponya wagonjwa, na aliwasamehe watu dhambi zao, na wengine aliwathibitishia wokovu (uzima wa milele). Aliteswa, akasulubiwa, na kufa msalabani. Akazikwa, siku ya tatu akafufuka, na akapaa mbinguni. Siku ya mwisho atarudi "kuwahukumu wazima na wafu". Je, na wewe una hizo sifa nilizozitaja hapo👆👆 juu?Yesu huyu huyu ambae alikuwa anajamba mifuzi kama sisi tu?
Sema hivi;Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
Arianism
Umekimbia moto, eeh!Kwaheri
Mkuu upo timamu kweli
Kwanini yesu si Mungu!!Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
Arianism
Nikikupa hoja sidhani kama utakua na uwezo wa kuelewa: Naomba soma hapa.Hiyo ni Imani sio hoja
According to Satanic VersesKwanini yesu si Mungu!!
Kumbe mungu anakufa?Alizaliwa, alihubiri injili, na kusema yeye ni "njia, ukweli na uzima" na kwamba yeye yuko "ndani ya baba yake, na baba yake yuko ndani mwake". Alifufua watu, aliponya wagonjwa, na aliwasamehe watu dhambi zao, na wengine aliwathibitishia wokovu (uzima wa milele). Aliteswa, akasulubiwa, na kufa msalabani. Akazikwa, siku ya tatu akafufuka, na akapaa mbinguni. Siku ya mwisho atarudi "kuwahukumu wazima na wafu". Je, na wewe una hizo sifa nilizozitaja hapo👆👆 juu?
Huu ni utoto!Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Yesu ni Mungu
Maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa maana imeandikwa,Huu ni utoto!