Huwezi kuniita mjinga na maminofu yangu yote haya. Ukiendelea nitakutafuta nikufinyange upate adabu.mbona umekuwa mkali hivyo mjinga mwenzangu?
elezea vizuri watu wakuelewe,unachoficha nini?[/QU THE GAME SIO KILA KITU UTAFUNIWE MKUU,SOMA TAFAKARI NA FANYA UCHAMBUZ YAKINIFU,MI SIO WA HVYO MPAKA NIANDIKE YALIYO HOVYO MBELE YA WANAJAMII KUNA KI2 BEHAND AMBACHO NATUMAI KITAKUWA SOMO KWA WANAJAMII
Unamaana MAMA yako ni kichaa na tena BABA yako ni mjinga????????
Pole saaana kwa maneno mabaya uliyowatusi wazazi wako.
Waombe msamaha wazazi wako pamoja na wakubwa zako ilio watusu huku jf kabla haujageuka MWENDAWAZIMU.
Hakuna tusi hapa. Biblia inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa hekima. Hekima ni ile hali ya kutatua matatizo kwa utaratibu mzuri pasipo kuleta matatizo zaidi. Ujinga wa mwanaume hapa umechukuliwa kama hali ya kutomchukulia mwanamke na kuishi naye kama alivyo. Mwanamke kwa hulka anachukulia kila jambo kwa hamaki. Bila utulivu. Mtu mwenye hulka kama hii ni mgonjwa wa Afya ya akili au kwa ufupi ni kichaa.alaaniwe amtukanaye mwanamke. Mpe mwanamke heshima yake tafadhali
Hakuna tusi hapa. Biblia inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa hekima. Hekima ni ile hali ya kutatua matatizo kwa utaratibu mzuri pasipo kuleta matatizo zaidi. Ujinga wa mwanaume hapa umechukuliwa kama hali ya kutomchukulia mwanamke na kuishi naye kama alivyo. Mwanamke kwa hulka anachukulia kila jambo kwa hamaki. Bila utulivu. Mtu mwenye hulka kama hii ni mgonjwa wa Afya ya akili au kwa ufupi ni kichaa.
Mtoa uzi ameumba tabia kulingana jinsia za watu. Hapa hajatukana mtu, haijalishi ni baba au mama wote wanaangukia katika ama tabia ya kutomwelewa mwanamke jinsi alivyo na kuishi naye jinsi alivyo huo ndio ujinga na tabia ya kuhamakia mambo pasipo utulivu hali inayojitokeza zaidi wenye matatizo ya Afya Akili. Kwangu Pawaga hajamtukana baba au mama yeyote, kama kuna mtu anaona ametukanwa ajaribu kuangalia kwa upande mwingine
Najua watu watakurupuka na kuanza kumrushia maneno mtoa mada.
"
Mtoa mada yuko sahihi kabisa na hakuna tatizo katika thread yake.
"
Kuna ukweli kwenye maelezo yake.Atakwazika atakaesoma juu juu tu.
"
Ni binadamu wachache sana walio tayari kuambiwa ukweli.
"
Mtoa mada ametumia lugha ya picha.Lakini hata tukiamua kuyachukulia maneno kama yalivyo kwani hakuna mwanaume mjinga?Hakuna mwanamke kichaa?
"
Tusikwazike kirahisi !!!!
Kwa maana nyingine mleta uzi ni kama mtu mwingine ange-quote andiko moja kwenye bible nimesahau mstari ambalo linasema "inahitaji akili sana kuishi na mwanamke"
Ili uelewe mada lazima uwe na iq ya hali ya juu la sivyo kwa wale wanaopenda kutafuniwa watalalamika mtoa mada ametumia lugha za matusi. Natamani mada zote zingekuwa kama hii
hiyo ni principal gan?,aisee u mrembo kichaa wewe............