Yes Wanaume ni wajinga lakini Wanawake ni vichaa

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
963
:fencing: Sababu kuu kwa nini Wanaume na wanawake wako tofauti katika maamuzi na katika jinsi ya kufikiri ni kwa sababu rahisi tu...Wanaume ni Wajinga na Wanawake ni Vichaa...
Oh yes, I said it....Na Wanawake ni Vichaa kwa sababu Wanaume ni Wajinga,na Wanaume ni Wajinga kwa sababu Wanawake vichaa wamewafanya wawe hivyo.Kamwe watu hawa wawili hawawezi kufanana kimtazamo labda mmoja abadili jinsia...Na kwa sababu Mwanaume ni mjinga anaamini Mwanamke ambaye ni kichaa hawezi kufikiri sawasawa,na Mwanamke kichaa anaona Mwanaume mjinga anashindwa kuelewa jinsi ya kucontrol kichaa chake.
Ili Mwanaume aweze kumcontrol Mwanamke ni lazima ajue jinsi ya kuishi na kichaa chake,akishindwa kinamlipukia.Na ili Mwanamke aweze kuishi na Mwanaume,inabidi ajue Mwanaume ni Mjinga na inabidi asitumie kichaa chake kumuonea,inabidi amsaidie atoke kwenye ujinga ili amwelewe kichaa chake wawe parallel.
SAm proud kuwa mjinga mwenye uwezo wa kuelewa kichaa cha Mwanamke yoyote hata aliyetoka Milembe leo atatulia tu!
 
MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
939

Unamaana MAMA yako ni kichaa na tena BABA yako ni mjinga????????
Pole saaana kwa maneno mabaya uliyowatusi wazazi wako.
Waombe msamaha wazazi wako pamoja na wakubwa zako ilio watusu huku jf kabla haujageuka MWENDAWAZIMU.
 
soma vzuri post,pole yako wewe
 
Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
ila amekosea, mwanaume ambaye amekuwa mjinga sasa anaelekea kuwa kichaa, ona mambo anayofanya ihali yeye ndiye kiongozi na mwenye kanuni hata nguvu.
 
hemedi miraji

Member
Feb 16, 2010
46
10
:fencing: Sababu kuu kwa nini Wanaume na wanawake wako tofauti katika maamuzi na katika jinsi ya kufikiri ni kwa sababu rahisi tu...Wanaume ni Wajinga na Wanawake ni Vichaa...
Oh yes, I said it....Na Wanawake ni Vichaa kwa sababu Wanaume ni Wajinga,na Wanaume ni Wajinga kwa sababu Wanawake vichaa wamewafanya wawe hivyo.Kamwe watu hawa wawili hawawezi kufanana kimtazamo labda mmoja abadili jinsia...Na kwa sababu Mwanaume ni mjinga anaamini Mwanamke ambaye ni kichaa hawezi kufikiri sawasawa,na Mwanamke kichaa anaona Mwanaume mjinga anashindwa kuelewa jinsi ya kucontrol kichaa chake.
Ili Mwanaume aweze kumcontrol Mwanamke ni lazima ajue jinsi ya kuishi na kichaa chake,akishindwa kinamlipukia.Na ili Mwanamke aweze kuishi na Mwanaume,inabidi ajue Mwanaume ni Mjinga na inabidi asitumie kichaa chake kumuonea,inabidi amsaidie atoke kwenye ujinga ili amwelewe kichaa chake wawe parallel.
SAm proud kuwa mjinga mwenye uwezo wa kuelewa kichaa cha Mwanamke yoyote hata aliyetoka Milembe leo atatulia tu!Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Unamaana MAMA yako ni kichaa na tena BABA yako ni mjinga????????
Pole saaana kwa maneno mabaya uliyowatusi wazazi wako.
Waombe msamaha wazazi wako pamoja na wakubwa zako ilio watusu huku jf kabla haujageuka MWENDAWAZIMU.

hapo mwandisha amecheza na tashtiti pamoja na tafsida,,,,wala hajamtukana mtu
 
Fugwe

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,676
650
There is a reason to learn from this story of which to some people sounds as if they have been insulted. there is nothing wrong with this story but individulal's transcription feel like so. I real like it, I will be back to comment
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,888
1,190
:fencing: Sababu kuu kwa nini Wanaume na wanawake wako tofauti katika maamuzi na katika jinsi ya kufikiri ni kwa sababu rahisi tu...Wanaume ni Wajinga na Wanawake ni Vichaa...
Oh yes, I said it....Na Wanawake ni Vichaa kwa sababu Wanaume ni Wajinga,na Wanaume ni Wajinga kwa sababu Wanawake vichaa wamewafanya wawe hivyo.Kamwe watu hawa wawili hawawezi kufanana kimtazamo labda mmoja abadili jinsia...Na kwa sababu Mwanaume ni mjinga anaamini Mwanamke ambaye ni kichaa hawezi kufikiri sawasawa,na Mwanamke kichaa anaona Mwanaume mjinga anashindwa kuelewa jinsi ya kucontrol kichaa chake.
Ili Mwanaume aweze kumcontrol Mwanamke ni lazima ajue jinsi ya kuishi na kichaa chake,akishindwa kinamlipukia.Na ili Mwanamke aweze kuishi na Mwanaume,inabidi ajue Mwanaume ni Mjinga na inabidi asitumie kichaa chake kumuonea,inabidi amsaidie atoke kwenye ujinga ili amwelewe kichaa chake wawe parallel.
SAm proud kuwa mjinga mwenye uwezo wa kuelewa kichaa cha Mwanamke yoyote hata aliyetoka Milembe leo atatulia tu!
Mkuu, mjinga ni baba yako na kichaa ni mama yako. Sie wengine si vichaa hata kidogo.
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,260
20,610
Najua watu watakurupuka na kuanza kumrushia maneno mtoa mada.
"
Mtoa mada yuko sahihi kabisa na hakuna tatizo katika thread yake.
"
Kuna ukweli kwenye maelezo yake.Atakwazika atakaesoma juu juu tu.
"
Ni binadamu wachache sana walio tayari kuambiwa ukweli.
"
Mtoa mada ametumia lugha ya picha.Lakini hata tukiamua kuyachukulia maneno kama yalivyo kwani hakuna mwanaume mjinga?Hakuna mwanamke kichaa?
"
Tusikwazike kirahisi !!!!
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
12,396
23,230
Laiti watu wangeijua maana ya hii mada. Nadhani vijimatatizo vidogo vidogo vingetatuliwa kwenye suala zima la mahusiano.
Lakini kwakuwa hawataki kutafakari maana iliyofichika na kutafuta mbinu au njia za kuishi na vichaa(kama ni wanaume) au kuishi na wajinga(kama ni wanawake) matatizo hayo yataendelea kuumiza vichwa vya watu.
 
SIM

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
1,774
1,267
Bujibuji Mlinzi ulimuweka yupi MJINGA au KICHAA?
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom