Wa majigambo kama wewe mara nyingi huwa mnafanya maamuzi ya ajabu kama kujinyonga, kunywa sumu, kujikata dushelele na kiwembe eti kisa wamekuchukulia mali zako:fencing: Sababu kuu kwa nini Wanaume na wanawake wako tofauti katika maamuzi na katika jinsi ya kufikiri ni kwa sababu rahisi tu...Wanaume ni Wajinga na Wanawake ni Vichaa...
Oh yes, I said it....Na Wanawake ni Vichaa kwa sababu Wanaume ni Wajinga,na Wanaume ni Wajinga kwa sababu Wanawake vichaa wamewafanya wawe hivyo.Kamwe watu hawa wawili hawawezi kufanana kimtazamo labda mmoja abadili jinsia...Na kwa sababu Mwanaume ni mjinga anaamini Mwanamke ambaye ni kichaa hawezi kufikiri sawasawa,na Mwanamke kichaa anaona Mwanaume mjinga anashindwa kuelewa jinsi ya kucontrol kichaa chake.
Ili Mwanaume aweze kumcontrol Mwanamke ni lazima ajue jinsi ya kuishi na kichaa chake,akishindwa kinamlipukia.Na ili Mwanamke aweze kuishi na Mwanaume,inabidi ajue Mwanaume ni Mjinga na inabidi asitumie kichaa chake kumuonea,inabidi amsaidie atoke kwenye ujinga ili amwelewe kichaa chake wawe parallel.
SAm proud kuwa mjinga mwenye uwezo wa kuelewa kichaa cha Mwanamke yoyote hata aliyetoka Milembe leo atatulia tu!
Wa majigambo kama wewe mara nyingi huwa mnafanya maamuzi ya ajabu kama kujinyonga, kunywa sumu, kujikata dushelele na kiwembe eti kisa wamekuchukulia mali zako
Mkuu, mjinga ni baba yako na kichaa ni mama yako. Sie wengine si vichaa hata kidogo.
Wa majigambo kama wewe mara nyingi huwa mnafanya maamuzi ya ajabu kama kujinyonga, kunywa sumu, kujikata dushelele na kiwembe eti kisa wamekuchukulia mali zako
:fencing: Sababu kuu kwa nini Wanaume na wanawake wako tofauti katika maamuzi na katika jinsi ya kufikiri ni kwa sababu rahisi tu...Wanaume ni Wajinga na Wanawake ni Vichaa...
Oh yes, I said it....Na Wanawake ni Vichaa kwa sababu Wanaume ni Wajinga,na Wanaume ni Wajinga kwa sababu Wanawake vichaa wamewafanya wawe hivyo.Kamwe watu hawa wawili hawawezi kufanana kimtazamo labda mmoja abadili jinsia...Na kwa sababu Mwanaume ni mjinga anaamini Mwanamke ambaye ni kichaa hawezi kufikiri sawasawa,na Mwanamke kichaa anaona Mwanaume mjinga anashindwa kuelewa jinsi ya kucontrol kichaa chake.
Ili Mwanaume aweze kumcontrol Mwanamke ni lazima ajue jinsi ya kuishi na kichaa chake,akishindwa kinamlipukia.Na ili Mwanamke aweze kuishi na Mwanaume,inabidi ajue Mwanaume ni Mjinga na inabidi asitumie kichaa chake kumuonea,inabidi amsaidie atoke kwenye ujinga ili amwelewe kichaa chake wawe parallel.
SAm proud kuwa mjinga mwenye uwezo wa kuelewa kichaa cha Mwanamke yoyote hata aliyetoka Milembe leo atatulia tu!
Acha ujinga jamaaa mpe mwanamke heshima yake. bible imeandika ishi na mwanamke kwa akili na mwanamke ni dhaifu sasa kama wewe unamwona kichaa ni wewe. ulitakiwa mwishoni uandike '' huu ni mtazamo wangu'
Hakuna tusi hapa. Biblia inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa hekima. Hekima ni ile hali ya kutatua matatizo kwa utaratibu mzuri pasipo kuleta matatizo zaidi. Ujinga wa mwanaume hapa umechukuliwa kama hali ya kutomchukulia mwanamke na kuishi naye kama alivyo. Mwanamke kwa hulka anachukulia kila jambo kwa hamaki. Bila utulivu. Mtu mwenye hulka kama hii ni mgonjwa wa Afya ya akili au kwa ufupi ni kichaa.
Mtoa uzi ameumba tabia kulingana jinsia za watu. Hapa hajatukana mtu, haijalishi ni baba au mama wote wanaangukia katika ama tabia ya kutomwelewa mwanamke jinsi alivyo na kuishi naye jinsi alivyo huo ndio ujinga na tabia ya kuhamakia mambo pasipo utulivu hali inayojitokeza zaidi wenye matatizo ya Afya Akili. Kwangu Pawaga hajamtukana baba au mama yeyote, kama kuna mtu anaona ametukanwa ajaribu kuangalia kwa upande mwingine
:fencing: Sababu kuu kwa nini Wanaume na wanawake wako tofauti katika maamuzi na katika jinsi ya kufikiri ni kwa sababu rahisi tu...Wanaume ni Wajinga na Wanawake ni Vichaa...
Oh yes, I said it....Na Wanawake ni Vichaa kwa sababu Wanaume ni Wajinga,na Wanaume ni Wajinga kwa sababu Wanawake vichaa wamewafanya wawe hivyo.Kamwe watu hawa wawili hawawezi kufanana kimtazamo labda mmoja abadili jinsia...Na kwa sababu Mwanaume ni mjinga anaamini Mwanamke ambaye ni kichaa hawezi kufikiri sawasawa,na Mwanamke kichaa anaona Mwanaume mjinga anashindwa kuelewa jinsi ya kucontrol kichaa chake.
Ili Mwanaume aweze kumcontrol Mwanamke ni lazima ajue jinsi ya kuishi na kichaa chake,akishindwa kinamlipukia.Na ili Mwanamke aweze kuishi na Mwanaume,inabidi ajue Mwanaume ni Mjinga na inabidi asitumie kichaa chake kumuonea,inabidi amsaidie atoke kwenye ujinga ili amwelewe kichaa chake wawe parallel.
SAm proud kuwa mjinga mwenye uwezo wa kuelewa kichaa cha Mwanamke yoyote hata aliyetoka Milembe leo atatulia tu!
alaaniwe amtukanaye mwanamke. Mpe mwanamke heshima yake tafadhali
Hakuna mwanaume shoga, mwanaume ni mwanaume na shoga ni shogaSo Mwanaume shoga ni nani?